Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,686
- 140,352
Ni Kilwa road,sio barabara ya Kilwa road!hii barabara haiishi miaka nenda rudi.hivi mkataba una liquidated damage kweli?!
Ni Kilwa road,sio barabara ya Kilwa road!hii barabara haiishi miaka nenda rudi.hivi mkataba una liquidated damage kweli?!
Ni SKOL ....
Endeleeni kukereka tu.....
Barabara ipi imefungwa zaidi ya wiki 2...?!
Leo asubuhi niliwaza kuandika hili jambo. Kama hakuwa tayari kwanini alichimbua ile lami ya zamani?
Labda wanahisi hakuna binadamu wanaoishi huko
Na huu msimu wa uchaguzi
ukiuliza sana utaambiwa umenunuliwa na kambi ya mgombea mmoja kumchafua mtu
bora kunyamaza