Plot4Sale Wahi viwanja vya makazi na uwekezaji jirani na barabara kuu kilwa road

Omary Mbaraka

New Member
Mar 9, 2023
1
1
WAHI VIWANJA JIRANI NA BARABARA KUU KILWA ROAD.

Viwanja vipo kilometre chache kutokea mbagala rangi Tatu..kituo kinaitwa Dundani sheli ya Muro.. na viwanja viko hapohapo.

Viwanja vina huduma zote za kijamii kama maji, Umeme, Barabara, Shule nk.

Viwanja viko sehemu nzuri Sana kwa makazi na uwekezaji.

Ukubwa wa kila kiwanja ni Futi 50 kwa 40. Bei ni million Moja na nusu. 1.5million. Pia kuna kiwanja kimoja kina futi 50 Kwa 30 bei mil moja na laki tatu 1.3mil

Wahi mapema viwanja vipo vichache.
Cm 0676 493326 au 0686 940037

FB_IMG_16777042812729133.jpg
FB_IMG_16777042907593378.jpg
FB_IMG_16777042692923079.jpg
 
Mkuu hivi kwa nini ukanda wa Mbagala, Vikindu, Kisemvule hadi Mkuranga na kuendelea hupenda kuuza viwanja kwa Futi na sio Mita?, hii hupelea viwanja kuwa vidogo sana, kusongamana na hata wanao-nunua kutofanikiwa kupata hati kwa wakati.
 
Kabla.hatujaviwahi hvyo viwanja vichache vilivyobaki

Tuhakikishie Hati miliki kutoka wizarani
 
Mkuu hivi kwa nini ukanda wa Mbagala, Vikindu, Kisemvule hadi Mkuranga na kuendelea hupenda kuuza viwanja kwa Futi na sio Mita?, hii hupelea viwanja kuwa vidogo sana, kusongamana na hata wanao-nunua kutofanikiwa kupata hati kwa wakati.
Wanaona aibu kuandika kwa mita. Hizo futi 50 x 30 ni kama mita 15 x 9! Sasa hayo si masihara hayo
 
Wanaona aibu kuandika kwa mita. Hizo futi 50 x 30 ni kama mita 15 x 9! Sasa hayo si masihara hayo
Hicho kiwanja kinatosha kujenga nyumba ya maana na parking ya gari unapata JAPANA asilimia kubwa ya nyumba za makazi nyumba zimejengwa katika viwanja vidogo hasa na nyumba nzuri tu.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Kilometa chache kutoka Mbagala rangi tatu

jifunzeni kuacha ubabaifu kwny matangazo ya biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom