Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Luckytz

Member
Jul 5, 2018
84
125
kwema wakuu!

nimepitia uzi huu kabla sijajaribu kulima kitunguu saumu. nimekumbana na changamoto hii (tazama picha)

-kitunguu hakinenepeshi punje, badala yake punje zinachipua upya!
-kina miezi 3 toka kupandwa.
-nilitazamia kianze kukomaza tunguu sio kuleta vichipukizi.

NB: eneo niliko tuna uhaba wa watalamu wa kilimo. View attachment 1575677
Habari mkuu
Hilo tatizo linasababishwa na maji kuwa mengi kwenye mmea, hilo zao halitaki maji mengi kama unalima kwa kutegemea mvua lazima iwe hivo na kitunguu haitatengeneza punje, na kama unatumia njia ya umwagiliaji, mwagilia kila baada ya siku 7-9 utapata matokeo mazuri
IMG_20201014_155717_605.jpeg
IMG_20201005_183607_8.jpeg
 

prospilla

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
802
1,000
THE HORTICULTURISTS

Jiunge kwenye kundi letu la whatsap tujadili mada mbali mbali kuhusu kilimo.
Kutana na wataalamu upatiwe majibu ya maswali yako kuhusu kilimo.
 

Mduma Farms

Member
Oct 15, 2020
8
45
Aisee kwenye masoko bado tunateseka sana, Kuna mkenya anataka nimpe kwa 50k vile vi net vyao Vinne (4) huku nikuumizana kabisa, Sokoni Kilombero shishimbi inauzwa 80,000/=
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom