Malila unaweza kunipa mwanga kidogo kuhusu bei za hayo maeneo ya Ruaha na hayo mengine kama unafahamu. Nataka nikasurvey na angalau kabla sijaenda huko nijue bei ya kununua kwa eka au ya kukodi kwa eka.

Kilimo Kwanza!
Mkuu kama ulipata au una detaila za kitunguu mbuyuni hebu tutaftane plz
 
Kaveli naomba tuwasiliane 0763370175
 
Nataka kulima vitunguu, eneo Moshi Longoi kwa wale wanaofahamu.. kule Longoi wanalima sana vitunguu... naomba msaada kujua aina nzuri ya mbegu, na nitavuna kiasi gani kwa hekari moja... pia gharama za kulima hekari moja itanigharimu Tsh ngap?
 
nasubiri details za hiki kilimo, especially natamani zaidi nipate majibu ya kilimo cha vitunguu swaumu.
 
Nataka kulima vitunguu, eneo Moshi Longoi kwa wale wanaofahamu.. kule Longoi wanalima sana vitunguu... naomba msaada kujua aina nzuri ya mbegu, na nitavuna kiasi gani kwa hekari moja... pia gharama za kulima hekari moja itanigharimu Tsh ngap?
Karibu ninauza mbegu pia napatikana moshi 0763370175
 
mkuu napatikana mang'ola wilayani karatu, karibu kw upatikanaji wa mbegu bora za vitunguu ,Nimkulima mzuri wa mbegu ya vitunguu na vituguu kwa ujumla kw mawasiliano 0765456685
 
Nataka kulima vitunguu, eneo Moshi Longoi kwa wale wanaofahamu.. kule Longoi wanalima sana vitunguu... naomba msaada kujua aina nzuri ya mbegu, na nitavuna kiasi gani kwa hekari moja... pia gharama za kulima hekari moja itanigharimu Tsh ngap?
Andaa kama milioni 2 kwa hekari moja. Mimi nililima sehemu inaitwa Kikuletwa ipo takribani km 13 kusini mwa mji mdogo wa Bomang'ombe wilaya ya hai. Maji ya uhakika na raha ya hapa wakati wa mavuno huwa sehem nying za kanda ya kaskazin wanakuwa wamevuna.

Kwa tuliovuna mwezi wa pili mwaka huu gunia tumeuza kwa 200,000/= mpaka 180,000/= na wanaweka kweny net na sio magunia ya katani. Wafanyabiashara wanunuzi wengi wakenya wanafika mpaka shambani.

Karibu Kikuletwa
 
Ni pm msangi!!
 
Vipi uhakiaka wa upatikanaji wa mashamba hapo?
 
Samahan umepata gunia ngap n ume2mia mbegu gan,difficulties if any...
 
Wanajamzi kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu kwa wale ambao anafahamu aina hii ya kilimo kuanzia
Mbegu bora
Madawa
Soko
Na kwa hekari moja unaweza ukapata gunia ngapi kwa makadirio ya juu na ya chini pia
Naomba mnieleze mambo yote muhimu yakuzingatia wakati wakulima na ni msimu upi mzuri kulima na upatikanaji wa soko na bei ya soko kwa kg au gunia
Napia naomba kufahamishwa gharama za kuhudumia heka moja kuanzia hatua ya awali mpaka nitakapo vuna mazao shambani
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu asanteni na karibuni kwa mawazo yenu Wanajamvi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…