Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

TARI wana fanyaga tafiti za mifugo? Ok tufanye yes, ni aima zipi za kuku walizo fanyia utafiti na kuja nazo? ni aina zipi za Ng'ombe wame kuja nazo?
 
TARI wana fanyaga tafiti za mifugo? Ok tufanye yes, ni aima zipi za kuku walizo fanyia utafiti na kuja nazo? ni aina zipi za Ng'ombe wame kuja nazo?
Soma vizuri hakuna sehemu nilipoandika TARI wanafanya utafiti wa mifugo. TARI Ni kilimo na TALIRI Ni mifugo.

TARI wamefanya utafiti wa mbegu bora za ufuta na korosho -TARI Naliendele.
TARI Ilonga wamefanya utafiti wa mbegu bora ya alizeti,TARI ya Kigoma wamefanya utafiti wa mbegu bora ya michikichi nk.
TALIRI wamefanya utafiti wa mbegu bora za ng'ombe aina ya Mpwapwa,na mbuzi bora aina ya Malya.

Hawa watafiti wengi wamesoma SUA na wengi wana PhD.

Narudia tena tusidharau watafiti wetu na vyuo vyetu.
 
Hao Ng'ombe aina ya Mpwawa wako wapi? Usiniambie wanapatikana Mpwapwa pekee?
 
Mkuu nahitaji mbegu ya hiyo canola au rapeseed Taipataje? Msaada tafadhali
 
Mkuu nahitaji mbegu ya hiyo canola au rapeseed Taipataje? Msaada tafadhali
Juzi post nilio post ya mbegu za Canola hukuiona? Nisha post mara 2 humu kuhusu Mbegu na Bahati nzuri zisha ondoka zote, now kwa mimi mtu asiniulize ishu ya mbegu tena make zimeisha na sijui kwa kizipata tena
 
Mkuu ikijatokea umepata basi usinikose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…