BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,544
- 6,034
TARI wana fanyaga tafiti za mifugo? Ok tufanye yes, ni aima zipi za kuku walizo fanyia utafiti na kuja nazo? ni aina zipi za Ng'ombe wame kuja nazo?SUA wana impact kubwa sana,mabwana shamba wengi Tanzania ni wa SUA,madaktari wanaotibu mifugo yetu Ni wa SUA,walimu wanaofundisha mabwana shamba na wafugaji kwenye vyuo vya kati ni kutoka SUA.
Watafiti wengi wa kilimo na mifugo. Wamesoma SUA.
Kama unabisha nenda kwenye kituo chochote cha utafiti cha kilimo TARI uulize waliposomea TARI wanafanya kazi nzuri sana pia nenda kituo chochote cha utafiti wa mifugo TALIRI uulize waliposomea nao wanafanya kazi nzuri sana.
TARI wamefanya utafiti wa mbegu mbalimbali zikiwemo za korosho,michikichi,alizeti,mpunga nk.
TALIRI wamefanya tafiti mbalimbali za mifugo ikiwemo ng'ombe,mbuzi nk.
Tusidharau vyuo vyetu.