Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Mmh, wewe huyu?

Ingekuwa pati ya kijani na njano ningekuelewa.

Mi ndiye mwalimu wake!! hapa namfundisha cha kwenda kuongea baada ya hawa akina dada kumaliza kupiga kelele
 
yaani hao waliotoka kuimba sasa hivi sijawaelewa ni nani wao?
Hovyooo kabisa
 
Ndo tatzo la chombo ki1 kushikiria kila kitu,. Yan had wanashindwa kufanya vitu vya maana,. Yan wamejaza watu wao had imekuwa ka kipaimara
 
King Majuto naye mkurugenzi?
Kweli ukurugenzi umevamiwa.

Hivi na mie ni mkurugenzi wa dada hapa home?? He he konnie naye MD
 
Upcoming artist(msanii anaechipukia),mshindi ni??? Mzee majuto na sharomilionea wamtangaza Ommy dimplez
 
kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya.

yan kwa kweli ii ni music murder case.saida afungue kesi.
 
kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya.

Nilijua nikianza kusema nitaonekana namna gani vipi...maana kwa kuanzia kivazi chake cha kwanza sikukielewa
 
Back
Top Bottom