King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,374
- 88,609
Hili chotara la kizungu ndio demu wa akili the brain?
Yani wewe ungefaa sanaaaa...aminiaa
huyo anaeimba now ni mzungu au mtu aliyechibua na kubadili rangi ya nywele?
Roma Zaid ya msanii bana.
Hili chotara la kizungu ndio demu wa akili the brain?
huyo anaeimba now ni mzungu au mtu aliyechibua na kubadili rangi ya nywele?
Hili chotara la kizungu ndio demu wa akili the brain?
Kuna fasheni nyingine mtu basi tu inakuwa sio taste yako...Sijapenda Dayna alivyovaa, au am too old kwa fashen hizi?
Hehehee mdungu umemuona?
Sio mdogo wake Joseph Payne wa BSS kweli?
Sauti yake inamkimbiza ngedere.
Kumbe hadi huku upo nilijua madesa na politiki.
Nimemuona, nilichopenda kwake ni anajua usafi wa kwapa.
kama huyu hawezi hii nyimbo ya Saida Karoli si angewaambia tu waandaji kuliko huu utumbo anaoufanya.