TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,265
- 25,550
Njia ya mafanikio kupitia Mungu ni ngumu sana kuliko kwa sheitwani.
Mf. Mungu anasema fanya kazi ndipo ule na shetani anakwambia iba hiyo pesa ni kiasi cha 2sec' una win!.
Kwenye kufanya kazi kuna njia ngumu, kwanza kusoma mpaka uje upate ajira hapo ni kasheshe, kulima, sijui kuendesha gari nk.
Yaani njia ya Allah siyo lelemama kuliko ya ibilisi, ndipo hapo vijana wanakata tamaa.