Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Kilichonifanya niache kuamini kwenye dini

Nakubaliana na wewe mkuu. Unajua tatizo liko wapi? Tatizo ni haya makanisa, wachungaji, manabii, mitume etc wanaozuka kila kukicha. Hawa watu na makanisa yao wamekuwa kama centers za kuhubiri mafanikio ya kupata utajiri na tiba za miujiza na siyo neno la Mungu. Sasa waumini wanapokwenda kichwa kichwa wakitegemea mafanikio ya ki-muujiza na yasitokee ndiyo wanabaki kuchanganyikiwa na kuanzisha nyuzi kama hizi.
Ni kweli mkuu, halafu maisha yanavyozid kuwa magumu mtu anashawishika kwenda huko, anapoteza muda mwisho wa siku mambo ni yale yale.
 
Ndugu weka akiba ya maneno!

Siku inakuja utatamani urekebishe japo herufi moja ktk ulichoandika hapa ushindwe,though sipo hapa kukutisha yote ni maoni yako maana unao utashi wako.
 
Maji ya bahari hayawezi kujaa kwenye kikombe cha kahawa vile vile upeo wa mwanadamu ni finyu kuelewa hikma na matendo ya Mwenyezi Mungu kwa usahihi wake kama haukubahatika kuelewa kitu ulizaa, tafuta elimu ya jambo hilo au baki upande salama kwa kutii.
 
Atubu dhambi zake na Yesu ataingia nani yake. Atapokea nguvu ya kushinda dhambi na atakuwa na shauku ya kumpendeza Mungu. Atafute kanisa linalohubiri wokovu na kufundisha neno la Mungu katika maeneo alipo ili aendelee kukua katika Kristo Yesu.
jibu hoja ya mleta mada.hayo yote anayajua,amesema mwenye akiwa primarily alijibidiisha na imani
 
paanzishwe forum ya wasioamini uwepo wa Mungu mana wanaongezeka kila uchwao

hapa tutakuja kukatana mapanga
 
Shetan ameshajipatia mfuasi wakwenda nae jehanum

Mlango wa rehema hufungwa mtu anapokufa au hapa duniani anapoenda mbali sana na MUNGU na hawez kurudi,

Nakuombea usiwe kwenye makund hayo mawili,

Neema ya Bwana ikuzukie , umrudie kwa moyo wote

Rehema ya MUNGU Kama iliyomzukia Suleiman ikirudie na ww, umkumbuke Muumba wako kabla hujalala mauti

Kama nitaenda mungu hatokua mtenda haki kwan dunian uliomba kuja?
 
WEWE KIJAMBO MMOJA UNATHUBUTU KUMTUKANA MUNGU AMBAYE HUMJUI??!!?
Acha kutumia makushabu jamaa yangu. Vuta bangi ile fresh itakuwa tiba kwako ila makushabu yatazidi kukuharibu. Nakuonea huruma sana unapitia kipindi kigumu sana kwa kuwa makushabu nayajua. Tangu nianze kuvuta bangi kama bangi nimegundua makushabu ni hasara kwa jamii.

[emoji23][emoji23] hata sivuti bangi ila mm nina reason mambo umeilimit akili yako
 
Uzi wako una hoja nzuri ila umekwama uliposema ivi [emoji116][emoji116]

Kwa maono yangu Mungu ndio shetani mwenyewe maana kila kitu kakiumba yeye

Dhambi s kazileta mwenyewe sasa hapo shetani original n yupi
 
Back
Top Bottom