Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Mkuu that will wait until proven guilty in the court of law, as of now she is innocent!
Mbona yeye haku wait until proven in the court of law, alimsokomeza mwenzake chupa kwa tuhuma tu pamoja na kujitetea kote?
Au ndio ule utetezi wenu kuwa kosa moja halihalalishi jengine?
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Inaonekana hata ww ukisukumiziwa chupa matakoni utaona ni kawaida tu
 
Mkuu leta report ya daktari kuthibitisha kuwa kosokomezwa na chupa!

Tusubiri uchunguzi ukamilike ndio tu hukumu. Sheria inasema tuhuma sio hukumu wala hatia.
Ni kweli lakini ukipewa dhamana katika jamii, jiweke mbali sana na tuhuma manake huchukua muda mrefu sana kubaini ukweli wakati umeshapakaa matope.
 
Nashangaa sana, faragha ya kinyume na maumbile ni jinai, ila hapa kwetu ndo wanapenda kuifanyaa.

UNAFIKIII
 
Kuna waziri mmoja alichukua wadada wawili wa chuo huko Mtwara akaenda akawalala wote kwa wakati mmoja. Vijana mnaita threesome. Wanasema hiyo kwake ni kawaida tu
Ni kinyume cha sheria kufanya threesome?
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Samia anamtumbua mwenye tuhuma za utesaji huku anamteua muuaji Makonda kuwa mwenezi!
 
Hii ni ishu inayohitaji ushahidi ila kumuingizia mtu chupa njia ya haja kubwa na kumpiga kumnyanyasa ni sahihi ?UCHUNGUZI UFANYIKE KAMA NI KWELI NAIBU WAZIRI HUYO WA SHERIA APELEKWE MAHAKAMANI
Vetting huwa zinafanywaje mpaka mtu mwenye tabia kama hiyo anakuja kupewa wizara ya sheria !!! Maajabu haya !
 
Huyo demu kwasasa she is suffering the after-effects ya upumbavu alioufanya kwa kuendeshwa na hisia za kipumbavu kama ilivyo kawaida. Amevuna anachostahili but still not enough, hata bungeni hapaswi kuonekana she deserves too much suffering.
Acha roho mbaya suffering wewe umekuwa mungu acheni kujivika umungu kwa binaadamu wenzenu sawa kakosea na utaratibu wa adhabu upo sasa hizo habari za suffering zinatoka wapi ?
 
Back
Top Bottom