Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kauli yako inatupelekea tuamini kwamba mama ana upendeleo....
 
Weka ushahidi wa tuhuma zako mkuu,vp ripoti ya CAG haikuja na ushahidi wa ubadhirifu wa mali za watanzania nani alichukuliwa hatua?
Kitendo cha kiongozi sio kufanya bali kutuhumiwa na kashfa hiyo alipaswa awajibike.

Two wrongs never make one right, Mkuu, unless you see any pleasure kwenye allegations za kuwekewa chupa nyuma.
 
Akamuone Dkt Dugange Ampe Mbinu Kwenye Sakata Lake La V8 Na Yule Mwanachuo Mpaka Akalimaza Kibabe
Sakata zao zinatofautiana
Kumsokomeka mwenzako
Chupa siyo poa
Bora wangetumia njia zingine

Ova
 
Huyo mama angemfanyia juu upuuzi mwanangu ningekuwa hela muda huu maana ningeshaharibu Bali ya hewa kitambo
 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
Haujamulewa mtoa hoja. Soma umuelewe. Una rash kama unakwenda kuzima moto!?
 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
Mkuu leta report ya daktari kuthibitisha kuwa kosokomezwa na chupa!

Tusubiri uchunguzi ukamilike ndio tu hukumu. Sheria inasema tuhuma sio hukumu wala hatia.
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mtoa mada nimekuelewa.

Wadau wanaona unamtetea,ila kimsingi wewe unaeleza sababu ya skendo lake kumuathiri mpaka kupelekea utenguzi na pengine kuchukukiwa hatua zaidi.
 
Back
Top Bottom