Ufisadi ni jinai pia....JINAI JINAI NA UMAFIA USIFANANISHE NA SKENDO YA UFISADI
Alisahau kuwa yeye ni ng'ombe aliyekatwa mkia.Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Yuko sahihi, bodaboda hazitakiwi ndani ya compound za masomo, hospitali, shule na sehemu nyingine muhimu.Kuna KM mmoja wa mambo yanahusu taaluma amepiga marufuku bodaboda kuingia kwenye compound ya masomo huko kwenye mji wenye sifa zote isipokuwa bahari ati kisa honi ilimkera
Mkuu kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake humu jukwaani.It means this...
View attachment 2825266
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Eeehn! Mkuu ulimaanisha "rush" , hahah! Lugha ngumu hii.Haujamulewa mtoa hoja. Soma umuelewe. Una rash kama unakwenda kuzima moto!?
Unataka kuhalalisha nini hapa?Mkuu leta report ya daktari kuthibitisha kuwa kosokomezwa na chupa!
Tusubiri uchunguzi ukamilike ndio tu hukumu. Sheria inasema tuhuma sio hukumu wala hatia.
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Wewe muache aendelee kuropoka tu ujinga wake. Sijuwi kama angeandika hayo kama yule mtoto angekuwa mwanaye.
Naona gekul unajifariji tu hapa. Nonsense
Kuna waziri mmoja alichukua wadada wawili wa chuo huko Mtwara akaenda akawalala wote kwa wakati mmoja. Vijana mnaita threesome. Wanasema hiyo kwake ni kawaida tuIngekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
2025 wala hata asigombee ubunge, ikitokea hata akafanikiwa kupita kura za maoni jimboni, ataliwa kichwa huko juu
Inasikitisha naye alisababisha kifo cha mtoto wa maskini lkn aliachwaNadhani suala lake ni tofauti na tuhuma za akina Dugange....... wao walipeta tu.
Huyu si aliisaliti chadema?Nadhani wakimkata jina atarudi anakimbia CHADEMA au atatimkia ACT-Wazalendo!
Mkuu mrangi hapa ndio ilibidi Ile kanuni ya jicho kwa jicho itumike,Tatizo kamsokomeza chupa kwa mwenzake, hiyo ni mbaya sana
Ova
Huyu si aliisaliti chadema?
Hawezi kurudi
huyu hatakuwa na pa kukimbilia, sanasana ataanza kuuza papa tu.Nadhani wakimkata jina atarudi anakimbia CHADEMA au atatimkia ACT-Wazalendo!
Mwizi vs Kuingizwa chupa, yote ni makosa lakini kuingizwa chupa hiyo haikubaliki, ni ushetani, afunguliwe mashtaka, madaraka na mali yalimlevyaIngekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mbona unatetea uovu we ni binadamu kweli? Sabaya na makonda wameua sana badala ya kupaza sauti watiwe hatiani we ndo kwanza unawaona heros. Mitanzani mbona inashabikia sana mateso ya wenzao? Kwani sisi tuna shida Gani au ndo laana zenywe hizi au ndo mana ya ngozi nyeusi. Rais kaanza kazi badala ya kumsifu kwamba it is a good start unaona kakosea tena Sasa sisi watanzania tunataka Nini. Au tukichinjana poa tuIngekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.