Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Kama alikuwa anajua hana backup, kwa nini afanye 'ufaler' kama ule?

Kama mambo anayotuhumiwa ni hakika, watu aina yake hawapaswi kuwepo katika jamii kabisa...

Hata huo uwakilishi wa wananchi kupitia ubunge ni bisara akatemeshwa tu, afilisiwe fidia apewe muathirika wa ukatili...

Nchi hii watu wanacheka sana na wahalifu ndio maana maovu hayapungui...
 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!

Nadhani hujamuelewa
 
Mkuu uchunguzi haujakamilika na mahakama kuthibitisha hilo. Mpaka sasa ni tuhuma tu.
Njaa ni mbaya sana hata huyo aliyesokomezewa nanihino akishiba anaweza akakataa kwamba hakuna kilichotokea kitu kama hicho !!!
Njaa haina baunsa Wanasemaga !!
 
Acha kutetea ujinga. Usifafananishe ukatili na mambo mengine. Kwa hivyo angekuwa na back up angeachwa?. Yani umdhalilishe mtu kwa kiasi kile uachwe kisa una back up.
Hivi kumdhalilisha mtu unaweza kufananisha na kumwua mtu? Mbona wauaji na watekaji, kama Makonda, wanazidi kupewa vyeo, tena kuwa wasemaji wa chama.

Gekulu amefanya kosa, hilo halina ubishi, lakini wapo waovu kumzidi yeye, lakini hawaguswi kwa sababu, labda Rais anafurahia uovu wao!! Maana siyo tu amewaacha, bali anawatunuku vyeo.
 
Acha roho mbaya suffering wewe umekuwa mungu acheni kujivika umungu kwa binaadamu wenzenu sawa kakosea na utaratibu wa adhabu upo sasa hizo habari za suffering zinatoka wapi ?
incharge acheni kumuhusisha mungu kwenye vitu vya kipumbavu, huo utaratibu wa adhabu ndiyo hizo suffering zenyewe anazopitia huyo demu, kwahiyo suffering aliyopitia dogo wa kuingiziwa chupa nyuma Gekul alijivika umungu eti?
 
Kafanya kosa lakini mwenzako anapokosea siyo ndio ushangilie na kutaka ateseke hata kama una chuki nae jitahidi kuficha hisia zako , huwa si busara kufurahia shida na mateso ya binaadamu wenzako wazi wazi hiyo ni roho mbaya, na kutakuwa na kitu hakipo sawa kwenye maisha yako
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Hakuna kipya ccm sabaya alikuwa kiongozi awamu gani? Sasa yupo huru hata gekuli atasafishwa usijali mkuu
 
Kafanya kosa lakini mwenzako anapokosea siyo ndio ushangilie na kutaka ateseke hata kama una chuki nae jitahidi kuficha hisia zako , huwa si busara kufurahia shida na mateso ya binaadamu wenzako wazi wazi hiyo ni roho mbaya, na kutakuwa na kitu hakipo sawa kwenye maisha yako
Simjui huyo demu chuki inatoka wapi, anapata anachostahili kadiri ya aliyoyatenda, wanaoshangilia kuanguka kwake ni hao wenye uhasama naye haswa huyo mshindani wake kibiashara. Kwa mantiki yako basi utakuwa na kazi sana ya kumtafutia huruma humu JF yakupasa u quote kila comment inayomuhusu yeye. Hakuna anayefurahia shida na mateso anayopitia binadamu haswa pale ambapo hakustahili.
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Mpuuzi wewe,hamna jema wathenge nyie wagalatia
 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
Hao wassukuma wana chuki na samia tuh
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Kuna kadalili.ka ukweli maana Wanasiasa wengi ni washenzi na makatili
 
Back
Top Bottom