toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,480
Kazingua daah me ndio mana nasemaga madem sio wakuwapa vyeo wanakuaga na roho mbaya kinomaNafasi,cheo alichopata kimempa jeuri
Ova

Kuna KM mmoja wa mambo yanahusu taaluma amepiga marufuku bodaboda kuingia kwenye compound ya masomo huko kwenye mji wenye sifa zote isipokuwa bahari ati kisa honi ilimkeraIngekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Skendo ya kutia mtu chupa nyuma, ndiyo kwanza naiona kwa huyo shetani.Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Na rais mwenyewe ana skendo ya mwanae kufanya mazungumzo nchi za nje kama mwakilishi wa serikali bila kuwa nobody humo serikalini!Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Idiotic old man...Na rais mwenyewe ana skendo ya mwanae kufanya mazungumzo nchi za nje kama mwakilishi wa serikali bila kuwa nobody humo serikalini!
Hicho ulichoandika hapo 🖕ndiyo nini sasa?Idiotic old man...
Kakojoe ukalale...
Nafikiri hujamuelewa mleta Uzi!Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.
Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
Vitendo vipo,ila vinafmyika kwa hiari!Skendo ya kutia mtu chupa nyuma, ndiyo kwanza naiona kwa huyo shetani.
Hapa haiongelewi hiyari.Vitendo vipo,ila vinafmyika kwa hiari!
MTU wake aliyembeba ni Bashiru kwanini asmsaidieIngekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
We sen&e tuIt means this...
View attachment 2825266
Lizee kocho...We sen&e tu
Sijasoma mpaka mwisho ila nikukumbushe tu...Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.
Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.
Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.
Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Ni mazungumzo gani hayo yaweke wazi tuelewe.Na rais mwenyewe ana skendo ya mwanae kufanya mazungumzo nchi za nje kama mwakilishi wa serikali bila kuwa nobody humo serikalini!