Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
Weka ushahidi wa tuhuma zako mkuu,vp ripoti ya CAG haikuja na ushahidi wa ubadhirifu wa mali za watanzania nani alichukuliwa hatua?
 
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia ubadhirifu,matumizi mabaya ya fedha za uma na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo kutoa kauli chafu kwa wananchi.

Lakini kwa sababu wengi wao wanaokumbwa na skendo wana backup ya watu fulani basi mama huishia kumung'unya maneno, akiwaka sana ataishia kusema STUPID.

Ni wazi kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup ya mtu wa karibu na mama au kutokuwa mtoto wa fulani ndani ya chama. Ni kama wanatafutwa mno watu wa dizaini yake ili kutolewa kafara. Hata kina Ally Hapi walikosa tu backup wakaondolewa..japo walideliver sana.

Uzuri kina Seleman Jaffo wanalijua hili ndio maana wamekaa zao kimya. Siku nao wakiguswa tu na wabaya wao basi hawafiki saa kumi jioni.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Anatuhumiwa kufanya jinai, hii sio sawa na skendo za ufisadi
 
Gekul ameonewa na kutolewa kafara tu.

Dah! Ametolewa kafara kwenye Nini? Wabongo tuna roho mbaya sana na hatupendani. Mtu kafanya unyama wote ule ila unamtetea eti katolewa kafara. Kafara kwani Hilo tukio limefanywa na yeye binafsi au Serikali?. Kwa kauli hizo ndio maana ilifika kipindi Mkuu wa Wilaya akaanza kuchapa watu fimbo hadharani.
 
Hatariiii Sana ebu tuwe na utu kuingiziwa chupa nyuma huu ni ushetan
Halafu ni mama ana watoto

Kama tuna utawala bora Sheria ichukue mkondo wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu uchawi upo, nachelea kuamini mama, dada, shangazi, mbunge nw sheria na katiba anaweza shiriki ktu kama hcho akiwa kwenye utimamu wake.

UCHAWI UPO
 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.
Hii hoja mmekariri tu kama kasuku lakini haina uthibitisho wowote.

Habari kama hizi hazianzii kwenye mainstream media hata awamu hii,ni mitandao ya kijamii tu kama awamu iliyopita.

Kuna mzazi hapa JF analalamika ITV wamegoma kurusha habari ya kifo chechefu cha bintiye kisa kina DC na OCD kama watuhumiwa.

 
Unasema hakuna viongozi wenye tuhuma kama hii awamu, kwasababu vyombo vya habari vipo huru kueleza lolote.

Kilicho muondoa huyo best yako ni matendo yake, hivi wewe au mmeo/mkeo au mtoto wako asokomezewe chupa ungekuja hapa na hizi ngojera zako, shame on you!
Makonda kaua na kuteka yupo tu
 
Akamuone Dkt Dugange Ampe Mbinu Kwenye Sakata Lake La V8 Na Yule Mwanachuo Mpaka Akalimaza Kibabe
 
Back
Top Bottom