BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Ana wivu huyo nimegundua.Sawa
Kuna watu wanautafuta usupastaa kwa nguvu humu jf.
Ana wivu huyo nimegundua.Sawa
Mmeyaona wapi mengi acheni kujipa ustaa hapa mnatuambia nyie wazaz wetu au tumewatuma mtuambie, tuliokubal kudanganywa ni sisi wewe kiherehere wa kutuambia kua tunapigwa fiksi unautoa wap, tulikukaribisha ..hatutaki kwani lazima pelekeni wosia wenu kwenye thread nyingineNaam, muhimu tunawatanabahisha kila tunapoweza.
Tumeyaona mengi, kumbuka hilo.
Muulize wako wangapi?Mmeyaona wapi mengi acheni kujipa ustaa hapa mnatuambia nyie wazaz wetu au tumewatuma mtuambie, tuliokubal kudanganywa ni sisi wewe kiherehere wa kutuambia kua tunapigwa fiksi unautoa wap, tulikukaribisha ..hatutaki kwani lazima pelekeni wosia wenu kwenye thread nyingine
Mkuu mtani wangu hebu achana nao hao ila wakati mwingine ukija mafia nitafute nikuhost usilale tena IbizaI wanted to have some little funny with this stupid idiot it's over now
Duuu Faiza sikubaliani naye kwenye mambo mengi kama hichi anachofanya humu kwenye uzi wa Mshana ila hili la kutafuta umaarufu kwa nguvu unamwonea bure sijui kama kuna mwana mama maarufu zaidi ya Faiza humu JfAna wivu huyo nimegundua.
Kuna watu wanautafuta usupastaa kwa nguvu humu jf.
Sisi shida yetu stori. Si lazima iwe kweliMuongo tu huyo hana lolote.
Kuna siku alikuja na picha humuhumu JF akidanganya kuwa kaipiga yeye hapo njia ya kwenda Ikulu, kumbe ile picha ipo kwenye mitandao kwa miaka kadhaa, nikamuumbuwa uongo wake kwa kuileta source nyingine kabisa ya ile picha, basi toka siku hiyo kajenga chuki kwangu.
Huu anaoleta humu ni uongo tu hajuwi lolote huyo.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Kwani wameliwa niniMuongo tu huyo hana lolote.
Kuna siku alikuja na picha humuhumu JF akidanganya kuwa kaipiga yeye hapo njia ya kwenda Ikulu, kumbe ile picha ipo kwenye mitandao kwa miaka kadhaa, nikamuumbuwa uongo wake kwa kuileta source nyingine kabisa ya ile picha, basi toka siku hiyo kajenga chuki kwangu.
Huu anaoleta humu ni uongo tu hajuwi lolote huyo.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Wala. Hatujaliwa.Kwani wameliwa nini
Mbona wapo wengi tu tena wenye staha na stara zao kabisa?Duuu Faiza sikubaliani naye kwenye mambo mengi kama hichi anachofanya humu kwenye uzi wa Mshana ila hili la kutafuta umaarufu kwa nguvu unamwonea bure sijui kama kuna mwana mama maarufu zaidi ya Faiza humu Jf
hapo mkuu,,mwenye kutaka ukweli akaape mahakamani. na ndipo watu wanapokosea, sisi tunataka habari tuburudike na tukiona inafaa na sisi twende kufanya utalii wa ndani..Sisi shida yetu stori. Si lazima iwe kweli
😵Mbona wapo wengi tu tena wenye staha na stara zao kabisa?
Mamndenyi
Evelin salt
miss chagga
Heaven Sent
niah
Nk nk list ni ndefu sana,wako bora Mara mia kuliko huyo mgumba mnuka naniliu
Mkuu mimi siongelei staha au stara ,kusema Faiza anatafuta usupastaa Jf ni kumwonea bureMbona wapo wengi tu tena wenye staha na stara zao kabisa?
@mamdenyi
Evelin salt
miss chagga
Heaven Sent
niah
Nk nk list ni ndefu sana,wako bora Mara mia kuliko huyo mgumba mnuka naniliu
Oya umaarufu una pande mbili positive na negative! Niliowataja wako positive huyo wako ni negative parceeMkuu mimi siongelei staha au stara ,kusema Faiza anatafuta usupastaa Jf ni kumwonea bure
Wote uliowataja ni sawa wanajulikana humu ila sio kwa kiwango cha huyu Faiza
Publicity ni Publicity haijalishi ni positive ama negativeOya umaarufu una pande mbili positive na negative! Niliowataja wako positive huyo wako ni negative parcee
Very wrong indeed! Mpende huyo lakini jua uko totally wrong young guyPublicity ni Publicity haijalishi ni positive ama negative
Siko hapa kwa ajili ya kumpenda au kumchukia mtu mzeeVery wrong indeed! Mpende huyo lakini jua uko totally wrong young guy
Hicho ni kiarabu,sio kiswahili fasaha.= darsa
Hata hapa nnamwaga darsa kwa wenye uelewa.