Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Dear haters fanyeni haya kuthibitisha uongo wangu kwenye hii post
-nendeni Nyamisati, simbaulanga kilwani na gezani
-nendeni kilindoni mafia niliandika jina langu hili ninalotumia hapa pale IBIZA
-Kauluzeni habari nilizoandika hapa huko kote nilikotaja
-nimezungumzia uchawi wa hivyo visiwa
-nimezungumzia magendo ya huko, kwanini msiende kuuliza?
-kuna Boat kubwa tatu moja ya fiber zinazofanya safari kati ya mafia na Nyamisati si mkaulize hizi habari
Mnashupaa hapa kulazimisha sukari iwe chumvi mtaweza kweli?
Naweka dau la nauli ya laki moja mmoja wenu aende

Nimeudhunika kujua ulimjibu Faiza Foxy,uyu Bibi ayuko vzuri akili. Ni wakupuuza.
 
Jamani wanabodi. Msameheni tu huyu Faiza Foxy
Kila thread anaweka sentensi hiyo hiyo inayosema 'mmesomea ujinga' I think she has probably gone to college and maybe she has read a lot but she is NOT educated. She knows many things but she is not wise. She is critical but cannot command respect. Msameheni bure tu. Akiandika lolote do not give her the privilege of replying
 
Neno swahili lenyewe ni Kiarabu. Hilo neo "fasaha" hapo juu pia ni la Kiarabu.

Hata wewe una asilimia kadhaa za Uarabu.
Ndio nakuambia neno darsa sio fasaha kwenye lugha ya kiswahili.Kiufupi halitambuliki kwenye lugha yetu hii pendwa.Mimi sina huo uarabu hata asilimia 0.0000000001
 
Jamani wanabodi. Msameheni tu huyu ajuza Faiza Foxy
Kila thread anaweka sentensi hiyo hiyo inayosema 'mmesomea ujinga' I think she has probably gone to college and maybe she has read a lot but she is NOT educated. She knows many things but she is not wise. She is critical but cannot command respect. Msameheni bure tu. Akiandika lolote do not give her the privilege of replying
The more you reply to such people the more you give them the guts to keep talking shite.
 
Hapo tunawapa darsa msiojuwa Kingereza, hata Magu akiingia humu akakosea pia atapewa darsa - kumbuka hilo.

Elimu haina mwisho.
Yeye amejisifu kuwa ni msomi,amekosea grammar na wewe ukamkosoa huku ukimdharau kuwa msomi gani hajui kiingereza.sasa ndi nakueleza,leo kigezo cha usomi kimekuwa kiingereza???Umekamatika,usipindishe pindishe maneno.Au nikupe link ya "on behalf of myself" ukamshambulie Magufuli na kuhoji usomi wake????shame
 
Kaka mshana jr unge update kutokea kwenye post hii mtiririko ungekuwa mzuri zaidi.
Paw, Moderator wa jukwaa Hili naomba mumsaidie mshana jr kwa hili
Naunga mkono hoja yako Bujibuji (yaani uziuzi au nyuzi nyuzi kikwetu). Yaani hii hadithi ingekuwa kwenye uzi mmoja ingependeza sana! Ingekuwa kama zile hadithi tulizokuwa tunahadithiwa na bibi zetu miaka ile ya '70-'80!!
 
Hapana mdau haitakaa nimjibu yeye hata siku moja! WAPUUZI HAWAJIBIWI!mimi nimeandika kwa ujumla wake
Wewe kiumbe nilikushauri utafute kazi ya kujishughulisha kuliko kushinda mitandaoni na kisimu chako cha mchina kutwa unatema pumba tupu hakutakusaidia lolote,

Tulia tukufundishe utapata japo akili ya kuvukia barabara,

Hiyo kauli yako ya kusema "wapuuzi hua hawajibiwi"

Ukweli ni kwamba ukishaweka hizo mada zako za bedtime stories hua huna uwezo wa kujieleza zaidi ya hapo, mara nyingi wanaochangia mada zako wakikupinga kwa kukuuliza maswali jibu lako hua ni "Nisome tena hujanielewa vizuri"

Hua unajiaminisha kua kila anayekupinga hajaelewa post yako! Kumbe huna uwezo wa kujieleza,

Jaribu kufuga hata Kuku kuliko kushinda JF kutwa nzima na usiku kucha na kukipoteza hiki kizazi kipya chenye majukumu lukuki mbele ya maisha yao.
 
Back
Top Bottom