The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,111
- 102,679
Mkuu tatizo ni kwamba humu kuna watu wa rika mbalimbali,kuna vijana ambao akili zao bado hazijakomaa,ndio hao anaowapata kwa kuwaambia wamfuate PM,Sisi shida yetu stori. Si lazima iwe kweli
Vijana wanaweza kumkabidhi hata kile kidogo walichonacho wakiamini kua huyu ana uwezo wa kuwatatulia matatizo yao kishirikina,
Sasa sisi tukikaa kimya na kumuacha huyu kiumbe kuupotosha umma kua uchawi ndio solution sidhani kama itakua ni busara,
Ni lazima tusimame ili kukiokoa hiki kizazi na hawa watu wenye tamaa ya kutaka vya watu kwa njia ya mkato tu.
