Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

dawa yangu hujanipatia basi naomba unielekeze kwa rasta nyoka maana kazi yangu ni moja kumuadabisha huyu mwakanza ya ziwa wa magogoni
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji3] [emoji3]
 
Kama ni uongo si ukae kimya? Kwani mangapi tunaongopewa na tunakaa kimya? Kama ni muongo si yeye na Uzi wake? Au alikupiga chini nini! Maana sio kwa kupanic huko[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Wewe kaa kimya, sisi hatupendi uongo.
 
Kwahiyo kumbe unaweza ukatupa ukweli wa hiyo stori unayoiita ya uongo!!!

Ukweli ni kuwa hakuna vitu kama hivyo ni uongo tu.

Huyo mtu anakila dalili za kuja kutapeli watu na wengine kuna siku mtakuja kulalamika humu.

Asiyesikia la mkuu...
 
Umejuaje kuwa ni uongo ulikuwa nae..?
au wewe ndio unayeijua hiyo story,.. funguka basi tukuelewe...

Si Kishadanganya sana humu JF nikambamba kwa ushahidi kamili, pitia juu huko nimekieleza kituko chake cha uongo nilichombamba.
 
Back
Top Bottom