myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
FAIZA kama umeona ni uongo na umeandika ni uongo sawa, wako wanokubali uongo kuwa ni ukweli! waachie jukwaa,,,,,,,,,Hahahaha, si kila mada nnayochangia, upo sawa kabisa, lakini pale unapoletwa uongo utaniona tu. Kumbuka hilo, labda nisipaone.