Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Muongo tu huyo hana lolote.

Kuna siku alikuja na picha humuhumu JF akidanganya kuwa kaipiga yeye hapo njia ya kwenda Ikulu, kumbe ile picha ipo kwenye mitandao kwa miaka kadhaa, nikamuumbuwa uongo wake kwa kuileta source nyingine kabisa ya ile picha, basi toka siku hiyo kajenga chuki kwangu.

Huu anaoleta humu ni uongo tu hajuwi lolote huyo.

Wajinga Ndiyo Waliwao.
...kama ushamjua ni muongo si umpotezee tu?..au ukiona jina tu kuna vitu vinakunyevua...
..kama vipi mtunuku akuchape nao akusuuze,muwasho utaisha!
.wajipa tabu ya nini
 
Tulirejea nyamisati jioni tukalala pale, rasta nyoka hakuwepo tena hatukupeana namba sikumuona na somu hakupenda tupige picha hata moja
Kuna mengi sikuyasimulia hapa nimetii agizo , ila hapo Nyamisati Gezani , kilwani na visiwa vinginevyo Kuna siri kubwa kuhusiana na rasta nyoka...ukibahatika kwenda huko jaribu kumuulizia

haya bwana tunashukuru kwa habari japo imeishia pazuri sana Mshana
 
...kama ushamjua ni muongo si umpotezee tu?..au ukiona jina tu kuna vitu vinakunyevua...
..kama vipi mtunuku akuchape nao akusuuze,muwasho utaisha!
.wajipa tabu ya nini

Unaonesha mzoefu wa kuchapwa nao.

Hongera.

Unataka mtu anasema uongo jukwaa la wazi halafu tunaojuwa kuwa huo ni uongo tumezee tu?

Hilo haliwezekani.
 
Unaonesha mzoefu wa kuchapwa nao.

Hongera.

Unataka mtu anasema uongo jukwaa la wazi halafu tunaojuwa kuwa huo ni uongo tumezee tu?

Hilo haliwezekani.
....kufumba macho sio kujificha bhana;
..we mtunuku tu utii kiu yako hii ligi iishe!
 
Naam mkuu,mbona umekatisha,,,Binafsi nilishawahi kupotea wakanitafuta nikarudi baada ya maombi mazito na wao kufunga...nataka nilinganishe kama hii inafanana na hiyo.
funguka mkuu,ulipotea na ndege?,
 
dawa yangu hujanipatia basi naomba unielekeze kwa rasta nyoka maana kazi yangu ni moja kumuadabisha huyu mwakanza ya ziwa wa magogoni
 
dawa yangu hujanipatia basi naomba unielekeze kwa rasta nyoka maana kazi yangu ni moja kumuadabisha huyu mwakanza ya ziwa wa magogoni
Mkuu huyo muache, ni kama mbio za sakafuni tu!
 
Inaendelea
Kiukweli ni kwamba nilisizi, Lakini Sikuwa pekeyangu karibia wapangaji kama wane hivi walitoka vyumbani mwao
Mimi sikurudi tena kulala mule ndani nilichukua kibegi changu na kwenda kukesha Ibiza mpaka alfajiri nilipotimkia bandarini
Tukiwa kwenye boat kurejea Nyamisati story zilikuwa za ile gesti na vituko walivyokumbana navyo usiku mzima, hasa ile harufu ya udongo mbichi na mchele, kuna baadhi walijiapiza kuwa hawatakaa warudi Mafia
Tulifika Nyamisati saa tatu hivi asubuhi bila kituko chochote....nilipumzika mpaka mchana tulipokodi fiber boat kwenda kwenye visiwa vilivyo karibu na hapo Nyamisati

Aiseew bora sikuendelea kusoma jana usiku. Kumbe na wewe ni muoga??
 
Back
Top Bottom