Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,874
Usifanye mchezo na nguvu za Giza!!Mshana jr, kwanini usimvae huyo jamaa na mpimane nguvu mzipige kieleweke maana anakufuatulia sana.
Inaonekana umekutana na mtaalam mwingine kwani anajifanya hakuzingatii lakini yupo sambamba na safari yako.
Hicho kitambaa usoni ndiyo darubini yake anakuona kila mahala.
Duh, Salale!
Vituko Gan ivyooooNimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake
Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale...
Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo
mimi sina shida hata mahamie mabwepande shida yangu nataka nimnyooshe yeye si mjanja ni mpige hat upofu au ububuKuhamia Dodoma zimebaki Story mark my words today 27/11/2016
tunasepa na kijiji mdogo mdogoTutaenda nao sawa kiroho safi bila chuki
Tuendelee....
Ukishuka pale kilindoni Mafia bandarini, hotel nzuri ya kwanza ambayo ni standard na bei yake ni nzuri ni IBIZA, Ni pazuri panafaa panavutia, nilifikia hapo na kuwasiliana na wana JF ambao ikiwapendeza watakuja wenyewe hapa ila kwasasa siwezi kuwataja bila ruhusa yao
Nililala Ibiza na kesho yake nikaenda visiwa vingine vilivyo karibu na mafia (nakumbuka nilitupia picha hapa bila watu wengi kujua huko ni wapi) nilishinda huko na kurejea mafia jioni ya siku hiyohoyo
Kwa bahati mbaya sana kufika Ibiza ikawa vyumba vimejaa, wapambe wa pm walikuwa wamebanana hapo kwakuwa ilikuwa ni kipindi kile Majaliwa yuko kule
Sikuwa pekeyangu niliyekosa chumba pale tulikuwa wengi, kuna gest nyuma tu ya Ibiza ila nayo ilikuwa full ya karibu vingine ilikuwa ni kama mwendo wa dk 15 na bei ilikuwa mbaya...wengi tulishindwa
Kufikia saa tano usiku tukapata kigesti change shilling 12000, vyumba sio self..nilikuwa na raia wengine wa nje tukachukua vyumba 4 kila mtu na chake
Hii gesti ilinishangaza sana
Ilikuwa ina harufu ya udongo mbichi uliochanganyikana na harufu ya ukale
Ilikuwa ni kama inaelea ukiwa ndani ni hisia isiyoelezeka
Taa zake zote zilikuwa hafifu sana
Kubwa kuliko yote ilipofika saa sita usiku(nilikuwa macho bado nafanya tahajudi)nikahisi kichwa kuvimba na nywele kusisimka..! Haikuchukua muda umeme ukakatika
Lakini pia kukawa na harufu kali ya mchele, nilichoropoka chumbani, hamad nafika kwenye korido nikamuona yule ndugu anaishia mwisho wa gesti, nilimtambua Kwa mavazi yake
aaaaaah kaja tena nini mbona umepotea
Saa 23:50 now nalala mkuu mshana JR ila nawazo nenda pale UDSM maana ni Chuo Mama omba Ufungue short course km wale wachina na conficious Yao anzisha hata vi Basic technician na Technician certificate in witchcraft and kupaaology in the midnight!!!

Eeeh ikawaje endeleaNimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado