karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 423
We kiboko
We kiboko
mtani umeanza lini tabia ya kutupa nusu nusu kutuachia utamu haujaisha ?Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake
Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale...
Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo
Hilo nalo ni Muhimu kaka.Naingiza siku wajameni tarejea
Usijali ma'am.Na mi uniite
BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............Madam mshana katutelekeza, we endelea tu hii story mpaka pale mshana atakaporejea
Usifanye hivyo please.Nampa hela ili asiendelee na story!
Hii ya Gamboshi imenivutia zaidi maana nami najiandaa kuelekea huko! Endelea mkuu,BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............
BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............

Huko Magogoni paache, paache kabisa, namaanisha paache.yaani leo umeniudhi umenilaza usiku saa tisa na bado mpaka sasa unanipigisha doro nasubiria stori stori na mimi,mambo gani haya halafu haujanipa jibu langu dawa ya kumtumbua mkali kwanza wa magogoni ntaipata
Huko Magogoni paache, paache kabisa, namaanisha paache.[/QUOT
unanirusha stimu unajua ndugu yangu,
unanirusha stimu unajauaHuko Magogoni paache, paache kabisa, namaanisha paache.




taabu kwelikweli, sijui we njitiFuata ushauri wangu.unanirusha stimu unajaua
Kapigwa mkwara na lile JITU REFU ,limemfuatilia hadi humu JFMshana rudigi basi ...
Daahahahahha mkuu jogoo ana mikono ya kukaba shingoni kweli huko gambosiBaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............