Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Alafu ? 😵😵😵
Wakihamia itakuwaje?Kuhamia Dodoma zimebaki Story mark my words today 27/11/2016
vijana wala majani.
Mkuu ,hii vipi,! Mbona kama imetoka/inaelea angani !maana bandiko lililotangulia haipo?
Halafu ni majani yepi?
Uliona WAP hela ya shetani ikaenda bure,utavuma Kwa muda tu baadae majuto tu,km yule alievuma na mabasi kila kona aipiti miezi magari yake kuanguka naona saa hizi kwishnei kabani jina tu mabus inabid akafugie Kuku.Tafuta utajiri wa kudumu Kwa akili zako.Achana na huo wa sponji huwezi lipia gharama zake.Mkuu hivi hamna dawa ya utajiri isiyokuwa na masharti
Nikiwa pale bandari bubu upande wa pili wa bahari nikamwona mtu mrefu sana akiwa kavaa kanzu nyeupe na kitambaa kichwani Chenye rangi nyeusi na nyeupe hiki kitambaa kilimfunika uso wote kasoro macho
Huyu mtu mrefu sana alikuwa anatembea kwenye tope kuja tulipo (kumbuka ilikuwa maji kupwa )mshangao wangu ulikuwa ni yule jamaa kutembea juu ya tope bichi bila kuzama na kanzu yake nyeupe
Ilibidi niwaambie wenyeji wangu wale vijana wala majani wakanicheka sana wakasema hakuna kitu kama hicho hayo ni maruerue tu ya 'bichi'
Sikutaka kuendeleza ubishani kwakuwa najua ila yule mtu mrefu alikuja na kutupita karibu kabisa...mimi nilimuona wengine hawakumuona