Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

Inaendelea
Kiukweli ni kwamba nilisizi, Lakini Sikuwa pekeyangu karibia wapangaji kama wane hivi walitoka vyumbani mwao
Mimi sikurudi tena kulala mule ndani nilichukua kibegi changu na kwenda kukesha Ibiza mpaka alfajiri nilipotimkia bandarini
Tukiwa kwenye boat kurejea Nyamisati story zilikuwa za ile gesti na vituko walivyokumbana navyo usiku mzima, hasa ile harufu ya udongo mbichi na mchele, kuna baadhi walijiapiza kuwa hawatakaa warudi Mafia
Tulifika Nyamisati saa tatu hivi asubuhi bila kituko chochote....nilipumzika mpaka mchana tulipokodi fiber boat kwenda kwenye visiwa vilivyo karibu na hapo Nyamisati
Sasa si ungenipigia simu nije kuku chukua ulale kwangu????
 
BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............
Aisee noma sana hii
 
Mshana Jr.....hii kitu umeleta humu ni fiksi tupu!ni kama umeota vileee ......si kweli!story haijanyoooka...uongo mtupu....labda changamsha kijiwe tu!story kama hiz ukikaa beach au kwenye vijiwe vya kahawa......bangi utazisikia tu!ulichofanya ni kujifanya tukio limekutokea wewe.....baada ya kupata masimulizi hasa kwa wavuvi....nk!
 
Back
Top Bottom