Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,284
- 6,750
Mi naona kama una elezea passion wala sio ukichaa au addictionKwenye social media Mfano Tiktok
Utakuta kuna vitu vya ajabu ajabu
Ovyo ila utaona kila mtu anakituko chake anachokifanya ( yupo confident na serious)
Mfano kwa mitazamo mingine
Angalia tu
Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake
Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu
Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao
Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee
Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)
Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake
Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake
Hapa bila shaka umemaanisha na mod ana kichaa....
Hatarmimi ukichaa wangu huja nikipandwa hasira kiasili nachelewa sana kukasirika ila bahati mbaya yakinifika hapa nikakushindwa kwl utasema huyu kichaa kilikuwa kimelala wengi huniuliza hivi fulani ni ww kwl ?ila hutokea kwa nadra sana.
😅😅muda wote anaangalia nyuzi za watuHapa bila shaka umemaanisha na mod ana kichaa....
SawaMi naona kama una elezea passion wala sio ukichaa au addiction
Nafanya mazungumzo na mimi kichwani najiuliza na kujijibu mwenyewe, naanza kuona haina haja ya kuongea na watu 😅😅Sawa
Tuambie ukichaa wako ni upi?
Inner voices😅😅kama mm tu (introverted)Nafanya mazungumzo na mimi kichwani najiuliza na kujijibu mwenyewe, naanza kuona haina haja ya kuongea na watu 😅😅
Afadhali nilijua naanza kuwa mwehu 😂Inner voices😅😅kama mm tu (introverted)
It seems crazy
Ila ndio njia za ufikiriaji
Kuna wale wanaopitiliza kabisa mtu anaongea live mwenyeweAfadhali nilijua naanza kuwa mwehu 😂
😂 mungu atuongoze tusifike huko kakaKuna wale wanaopitiliza kabisa mtu anaongea live mwenyewe
Kabisa😂 mungu atuongoze tusifike huko kaka
Nikichukia hutonipenda katu,yaan kamwee!Je wewe unavituko gani? (Ukichaa gani?)
Au jambo la ajabu unalolifanya na watu kukushangaa?
AiseeNikichukia hutonipenda katu,yaan kamwee!
Unalipa kisas auNikichukia hutonipenda katu,yaan kamwee!
Sina tabia ya kulipa kisasi,nikishindwa kufanya lolote muda huo ndiyo basi sitofanya kabisa....la muda huohuo namaliza muda huohuo,kesho ni mambo mengine mkuuUnalipa kisas au
Kwa mfano wewe mkuu una kichaa kipi ⁉️Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
View attachment 3464680
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani, huzuni, wasiwasi, au changamoto za kisaikolojia kwa kiwango fulani.
Mtu akiwa addicted na kitu fulani kupitiliza kwa mtu akiwa na mitizamo mingine anaweza kusema kuwa anaukichaa
Kwenye social media Mfano Tiktok
Utakuta kuna vitu vya ajabu ajabu
Ovyo ila utaona kila mtu anakituko chake anachokifanya ( yupo confident na serious)
Mfano kwa mitazamo mingine
Angalia tu
Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake
Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu
Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao
Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee
Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)
Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake
Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake
Imagine wachezaji wakicheza bila mpira( utapata picha halisi kuwa kila mtu anakichaa chake😅)
Kuna wale wa kubet kila kikicha wao ni mikeka tu
Ingia kwenye posts za watu , profile pic , username zao au status zao utamtambua mtu vizuri na kuthibitisha kila mtu anakichaa chake.
Je wewe unavituko gani? (Ukichaa gani?)
Au jambo la ajabu unalolifanya na watu kukushangaa?
Au kitu gani upo addicted?