Kikwete safarini TENA!

Mr.president I don't know what to comment since you can see for yourself all of
this chaos in this poor country of yours.
Now deal with this problems see ,Doctors,Teachers I don't know what will came next
may be even the police and the soldiers will join in.

Hawezi kukutana uso kwa uso na hao madaktari na walimu. Anachoweza ni kuita wazee wa Dsm na kuwachongea akisema siyo wazalendi n.k.

Safari iliyopita fisadi Idi Simba ambaye sasa ana kesi ndiye alimkaribisha JK pale Diamond Hall, safari hii sijui atajitokeza fisadi gani kumkaribisha!

Huyu dogo anavyoendesha mambo, anaweza kujitokeza jambazi linalotafutwa na polisi kwa mauaji ndiyo akajifanya mwenyekiti wa wazee wa Dar na kumkaribisha, naye JK hatauliza kitu!

 
rais wa tanzania atasafiri muda wowote kuhudhuria sherehe inaitwa canada day 2012 nchini canada,mawazo yetu wote tunatazama kwa makini kama safari hii ataacha madaktari wamegoma na watanzania wasio na matumaini wakipoteza maisha na kupanda zake ndege kuelekea huko kwa wazungu!

bugishiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pres.....................!
 
Jamani sas kama uongozi wa nchi umemshinda mnataka abakie nchini afanye nini? Mwacheni tu azurure lakini ajue kabisa kwamba Januari 2016 atatumbia kila kitu labda azamie huko huko ughaibuni, hakuna mtu ambaye ameifisadi nchi hii ambaye atabaki salama baada ya 2015.
 
sijawahi sikia kiongozi yeyote anayependa nchi yake atasafiri kwenda kuhudhuria sherehe wakati nchi ikiwa na crisis...yetu macho
 
Viongozi wa Africa wanamambo sana.
Raid Jonathan wa Nigeria majuzi hapa alifanya safari ya kwenda Brazil kwenye Mkutano wa dunia wa Mazingira, some hours kabla hajaondoka yakatokea mauaji makubwa kwenye mji wa kaduna, huku nyuma watu wakapiga kelele sana na kulaumu sana.

Aliporudi akaitisha press conference na kuelezea kwamba asingeenda BOKO HARAM wangejiona kwamba wanafanikiwa katika kuparalyse serikali yake. Mpaka sasa najiuliza inamaana Jonathan hajui kama serikali yake iko paralysed na BOKO HARAM, lakini angalau yeye alifire waziri wake wa ulinzi pamoja na mshauri wake wa masuala ya ulinzi.

Huyu wetu hata akienda na akarudi akakuta mgomo bado unaendelea, anaweza akaondoka tena kwenda kuhani msiba kwa Kibaki.
 
Napita tu maana niki kaa hapa naweza kuambulia ban..........
 
Zile fedha za nauli na posho yake zilizooibiwa si zimerudishwa na mwaka wa fedha unaisha, inabidi azimalizie!
 
Katika VC yake kuna degree ya Ku-pop Shampain bana so ukizingatia ni ule ukoo wa Vasco Dagama ndo basi tena anatumikia shahada zake jamani mbona hivyooooooooo......! Achana na Bcom ya 2.2 GPA, Dhaifu bana.
 
Alikuwa anangojea msimu mwingine wa fedha uanze baada ya fedha ya safari zake kuibiwa,unasema anaenda kwenye sherehe za Canada day ,aende atatukuta tutakaosalia baada ya mami kwa maelfu kufa kutokana na kushindwa kupata huduma za afya
 
Mkweree huwa anakimbia matatizo!! Anapata faraja pale anapohesabu matofali!! Mambo magumu magumu hayawezi, anawasukumia wengine yeye anasepa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom