Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
Alisema mwenyewe kwa mdomo wake "ukitaka kula lazima nawe uliwe" nadhani sasa ni zamu yake kuliwa. Anaenda kuliwa huko Canada.
Mhh MUNGU tuepushie
Alisema mwenyewe kwa mdomo wake "ukitaka kula lazima nawe uliwe" nadhani sasa ni zamu yake kuliwa. Anaenda kuliwa huko Canada.
akifika huko asisahau kupiga picha na will smithAkimaliza huku apitie hapa USA July 4 tunasherehekea America Day. Karibu sana mheshimiwa dakta rais.
Jamani sas kama uongozi wa nchi umemshinda mnataka abakie nchini afanye nini? Mwacheni tu azurure lakini ajue kabisa kwamba Januari 2016 atatumbia kila kitu labda azamie huko huko ughaibuni, hakuna mtu ambaye ameifisadi nchi hii ambaye atabaki salama baada ya 2015.
Mkuu, Mnyika alishasema jamaa ni dhaifu, unategemea nini? yetu macho ni tarehe1 july utaona V.Dagama anachanja mbuga
, mkuu usiwe mvivu wa kusoma na kushirikisha ubongo wako.....ameitwa Canada kuhudhuria canada Day 2012Inabidi kuelewa sababu ya safari, kwani aliishakuwa waziri wa mambo ya nje na alisafiri sanaa kwa hiyo siyo kama anainjoyi kusafiri bali ni majukumu yanamfanya asafiri. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Rais wa Tanzania atasafiri muda wowote kuhudhuria sherehe inaitwa Canada Day 2012 nchini canada,mawazo yetu wote tunatazama kwa makini kama safari hii ataacha madaktari wamegoma na watanzania wasio na matumaini wakipoteza maisha na kupanda zake ndege kuelekea huko kwa wazungu!
Nanunsa 'state corruption' hapa. Kama kweli atakuwa amealikwa na akaenda kwenye hiyo sherehe basi tuna tatizo. Hawa Canada waliwaandalia chakula wabunge mwaka jana, na sasa naona mwaka huu wanamlenga Rais. Yote hii ni kutaka madini ya nchi.