Hivi kwa nini mnakuwa obsessed na zitto??
hayo n mawazo yake tu, wala hayawezi ku dictate
unapokuja na lingonjera lirefu kama hili, ndio wewe ssa unaamsha watu wawaze kuna nini nyuma ya pazia??
Zitto ni binadamu, na wewe pia....mko tofauti. Hiwezekani ninapotoa maoni nifanane na mtu mwingine AU nikiyatoa nifikiriwe VIBAYA
huyu jamaa mbona anajiishia maisha yake ya kusema anachowaza?? ndio yuko hivyo..kamon! get life
absurd!
-CCM imetumia Sh bilioni 3,659,000,000/ Kumpa ZITTO ili AIHUJUMU CHADEMA.
- Ebu fikiria Ikiwa kujenga DARASA 1 ina gharimu Tsh Milioni 10 vingejengwa vyumba vya Madarasa 365, sawa na Shule 45.
- Kama zahanati 1 Itagharimu Tsh milioni 20 ingejenga Zahanati 182.
- Ikiwa Kuchimba Kisima kimoja ni Tsh million 10 vingechimbwa visima 365.
- Vocha 1 ya kilimo ina ghalimu Tsh 100,000/ Wakulima 36,590 wangepata vocha.
- Kwa hali hii kweli ZITTO ni Mzalendo kwa nchi? je anafaa kugombea urais?
- TAFAKARI!