Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Makene ni kweli kwamba kila alisemalo ZITTO kwenu ni usaliti, Ubaguzi na kuwa na kitu nyuma ya pazia, lakini haya WARYOBA , SALIM AHAMED SALIM nao ni wasaliti? Lakini swali la msingi sifa ya kijana ikiwa na mashiko mnachohofu nini? CHADEMA hamna vijana wa kushndana na vijana wa vyama vingine?

-CCM imetumia Sh bilioni 3,659,000,000/ Kumpa ZITTO ili AIHUJUMU CHADEMA. Ebu fikiria Ikiwa kujenga DARASA 1 ina gharimu Tsh Milioni 10 vingejengwa vyumba vya Madarasa 365, sawa na Shule 45. Kama zahanati 1 Itagharimu Tsh milioni 20 ingejenga Zahanati 182. Ikiwa Kuchimba Kisima kimoja ni Tsh million 10 vingechimbwa visima 365.Vocha 1 ya kilimo ina ghalimu Tsh 100,000/ Wakulima 36,590 wangepata vocha. Kwa hali hii kweli ZITTO ni Mzalendo kwa nchi? je anafaa kuwa CHADEMA? TAFAKARI! Tuma Ujumbe huu kwa Watu wengi wasiopungua MIA Utakuwa MZALENDO HALISI.
 
raisi bora atatokana na katiba bora hiyo yote ni hofu ya wanasiasa ukiwa na katiba bora ambayo itaweka maadili, tunu za taifa,tume huru ya uchaguzi,katiba amabyo itamwajibisha raisi akiboronga , pamoja na kumpunguzia madaraka, bila shaka vigezo ya ujana, uzee, udini , jinsia havina mashiko,
1. Awe kijana
2. Awe ni rais atakayeliunganisha taifa
3. Awe anaijua historia ya nchi yake vizuri kwa maana ya ilikotoka, iliko na inakokwenda
4. Awe na uwezo wa kufanya uamuzi mgumu kwa ajili nchi yake.
5.Awe tayari kuondoa matabaka yaliyoko nchini(ukabila, udini n.k

Akifafanua sifa ya ujana ZITTO alitolea mfano viongozi wa Tanzania waliopewa nafasi za uongozi wakiwa vijana na kufanya vizuri kuwa ni pamoja na JULIUS NYERERE, Jaji Mstaafu Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim.

ZITTO KABWE anaungana na Jaji Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim Katika mtazamo wa Rais ajae kuwa Kijana.

source: jambo leo
 
Kwahiyo leo kwavile Salim A Salim ni mzee hafai kuongoza nchi? Kwa lugha sahihi J.Makamba,Zitto Kabwe ni bora kuliko Mzee Salim A.Salim au Warioba? Singapore,Botswana etc ziliongozwa na vijana ndio wakaziendeleza? Hizi ndio rangi za watu ambao bado wanawashabiki humu.......
kuna watu wapatao 80% watatusumbua sana na ndio hao hao wanaosababisha nchi hii ifike hapa na iendelee kupoteza hata gesi baada ya migodi ya madini kubakia mashimo, kigezo chao kikubwa ni kumiliki shahada za kupiga kura na wengi wao ndio ukirimiwa sahani za pilau na khanga.
Kwa taarifa yako hawa ndio walikataa vyama vingi
ndio hawataki katiba mpya
ndio walimchagua JK/CCm 2005
Na sasa ndio wanataka kujipenyeza kwenye safari ya 2015 kwa kigezo cha ujana baana ya kuona hivyo ulivyotaja vitawakwaza!
Makamba anatakaje urais wakati hajawahi hata kuchaguliwa kuwa mbunge!?

1. Awe kijana
2. Awe ni rais atakayeliunganisha taifa
3. Awe anaijua historia ya nchi yake vizuri kwa maana ya ilikotoka, iliko na inakokwenda
4. Awe na uwezo wa kufanya uamuzi mgumu kwa ajili nchi yake.
5.Awe tayari kuondoa matabaka yaliyoko nchini(ukabila, udini n.k

Akifafanua sifa ya ujana ZITTO alitolea mfano viongozi wa Tanzania waliopewa nafasi za uongozi wakiwa vijana na kufanya vizuri kuwa ni pamoja na JULIUS NYERERE, Jaji Mstaafu Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim.

ZITTO KABWE anaungana na Jaji Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim Katika mtazamo wa Rais ajae kuwa Kijana.

source: jambo leo

Kwa hiyo vijana wala rushwa na mafisadi wanaruhusiwa kugombea urais maana kwa mujibu wa sifa alizoainisha zitto haya mambo ya ufisadi hamna.Hii inanikumbusha yeye akiwa kijana jinsi alivyopokea rushwa kutoka ccm ili kuidhoofisha Chadema.
 
Akili yako imetunzwa kwenye makabati ya ufipa... hatutaraji uchangie cha maana zaidi ya upuuzi...

John Mnyika hawezi hata kuwa Waziri. Umesahau kuwa alifeli Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam? Huyo hana tofauti na mwenyekiti wake Mr. Zero

Mambo ya kuwa na Rais anayesinzia akiwa mkutanoni kama Wasira, ambaye mwili umeishachoka kama Lowassa, na anayevalishwa pampus ya kujikojolea kama Sata wa Zambia hatutaki.

-CCM imetumia Sh bilioni 3,659,000,000/ Kumpa ZITTO ili AIHUJUMU CHADEMA.
  • Ebu fikiria Ikiwa kujenga DARASA 1 ina gharimu Tsh Milioni 10 vingejengwa vyumba vya Madarasa 365, sawa na Shule 45.
  • Kama zahanati 1 Itagharimu Tsh milioni 20 ingejenga Zahanati 182.
  • Ikiwa Kuchimba Kisima kimoja ni Tsh million 10 vingechimbwa visima 365.
  • Vocha 1 ya kilimo ina ghalimu Tsh 100,000/ Wakulima 36,590 wangepata vocha.
  • Kwa hali hii kweli ZITTO ni Mzalendo kwa nchi? je anafaa kugombea urais?
  • TAFAKARI!
 
​Mimi namuona hapa atakayekuja mrithi JK ni kijana Pombe Magufuli,huyu ni makini sana katika kazi yake atatufaa sana watanzania.
 
ikumbukwe hata jk aliingia kwa gia ya ujana lakini mpaka anazeekea ikuru maisha bado magumu
 
Kumbuka Hoja hii ya Januari Makamba na Zitto imebeba UDINI na ukabila.. Kama hujui acha!
Mkuu hatutamchaguwa mtu kwa

Dini yake

Kabila lake

Rangi yake

kanda atokayo

Tutamchaguwa mtu yeyote kuwa kiongozi wetu kwa kuzingatia uwezo wake kukabilina na changamoto zinazotukabili

-Uchumi mbovu

-Elimu duni

-Afya duni

-Ukosefu wa ajira hususani vijana

-Miundombinu duni, Reli, ndege za abiria na mizigo, barabara

-kuutokomeza ufisadi kabisa na vibaraka wake

-Kuutokeza udini na ukabila ambao umepaliliwa na kuchipuwa kwa kasi kubwa

-Kurejesha umoja na mshikamano kwa watanzania wote.

nk.

Hivyo suala la dini ya mtu halina nafasi maana hatuhitaji, paster, shekhe au mchungaji kutuswalisha au kutusalisha.

CCM hawawezi kufanya hayo yote hapo juu, maana wamekuwa madarakani zaidi ya miaka 50, badala ya kuboresha hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Kwamaana hiyo iwe ni kijana au mzee kama atatokea ccm hakuna lamaana kutendeka maana mfumo utabaki kuwa uleule kulinda maslah ya wajanja wachache wakitumia mongo wa kiasiasa na ujana kuwaburuza wajinga.
 
1. Awe kijana
2. Awe ni rais atakayeliunganisha taifa
3. Awe anaijua historia ya nchi yake vizuri kwa maana ya ilikotoka, iliko na inakokwenda
4. Awe na uwezo wa kufanya uamuzi mgumu kwa ajili nchi yake.
5.Awe tayari kuondoa matabaka yaliyoko nchini(ukabila, udini n.k

Akifafanua sifa ya ujana ZITTO alitolea mfano viongozi wa Tanzania waliopewa nafasi za uongozi wakiwa vijana na kufanya vizuri kuwa ni pamoja na JULIUS NYERERE, Jaji Mstaafu Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim.

ZITTO KABWE anaungana na Jaji Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim Katika mtazamo wa Rais ajae kuwa Kijana.

source: jambo leo

Kwa hiyo vijana wala rushwa na mafisadi wanaruhusiwa kugombea urais maana kwa mujibu wa sifa alizoainisha zitto haya mambo ya ufisadi hamna.Hii inanikumbusha yeye akiwa kijana jinsi alivyopokea rushwa kutoka ccm ili kuidhoofisha Chadema.

Vijana hawaaminiki bwana.Zitto aliuza Chadema,na kigwangala ameuza Tanganyika.
 
Uzee pia sio kipimo cha hekima wala uzalendo kama ilivyo kwa ujana..!! Tunataka rais atakaeweza kutuletea maendeleo kama taifa...!! Cha msingi hapa ni sera and sera za mtu zitazouzika zaidi ndo tutampa uraisi bila kujali umri..!! bado naamini mwakyembe anaweza kuwa raisi mzuri kama atarekebisha kasoro chache alizonazo (despite the fact that most of wagombea wetu watarajiwa wana kasoro na kashfa nyingi zaidi yake but yeye atleast he showed up some patriotism at one point in his life time..)
Ila swala la umri sio la kubeza pia cos more than 60% ya voters in 2015 ni vijana so ujana unaweza kuwa na influence kubwa sana katika uchaguzi ujao so its not gonna be a bad idea kumsimamisha credible kijana 2015, nchi ya Kenya ni shahidi tosha kwenye hili..!!
 
Asiyejitambua tu ndiye atampigia kampeni mnafiki na msaliti Zitto na kibaraka wake JANUARI Makamba.. Wanaojiita chaguo la MUNGU!
Naunga mkono hoja japo naona jambo zaidi, Tufikirie zaidi kuhusiana na hoja hii tusikurupuke namna hiyo na bila kushambuliana tutazame kontent, Biblia inasema "wazee wataota ndoto na vijana wataona maono" hili ni Taifa letu sote na hakuna mtu wa kuchagua aina ya kiongozi tuwaze kwa mapana zaidi na hapa tunapowaza kwa sasa.
 
John Mnyika hawezi hata kuwa Waziri. Umesahau kuwa alifeli Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam? Huyo hana tofauti na mwenyekiti wake Mr. Zero

Endelea kuota tu! Unadhani watanzania ni wajinga kiasi hiki mpaka wawakabidhi nyie Chadema nchi? You need to be serious! Changamoto hizo ndogo tu kwenye chama zimewashinda ndo muwaze kupewa nchi!

For your information, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye yuko tayari kuwakabidhi nchi wabaguzi kama Chadema. Uchaguzi ungekuwa unafanywa na wachaga kweli nchi mngechukua lakini kwa sababu ni watanzania wote, naomba tu uendelee kuota tu.

Katika ulimwengu huu wa sayansi na technology, chama kinaongozwa na mwenyekiti aliyepata sifuri mitihani ya sekondari halafu eti chama hicho kinalenga kufanya mabadiliko!! Mabadiliko gani yanayoweza kufanywa na mtu aliyeferi mtihani wa sekondari?

Mbaya zaidi uongozi wote wa juu umejaza watu waliomaliza darasa la saba au waliofeli mtihani wa sekondari. The likes of Mchungaji Msigwa, Sugu, Lema na Mnyika aliyefeli chuo kikuu cha Dar es Salaam. Unategemea nini kutoka kwa kundi la mbumbumbu waliojikusanya pamoja? Hao wote wameingia kwenye siasa sababu ya njaa zao. Ukisha feli mitihani you have no option, you just join politics.

CCM wana mapungufu yao tena makubwa lakini it is far better kuliko hao wapuuzi Chadema. Makene you are just wasting time. Chadema hata siku moja hawawezi kabidhiwa nchi. Kipofu huwa hawezi kuongoza mtu anayeona. Kuliko hii nchi kuwakabidhi Chadema Bora tuendelee na hao hao Ccm

Hizi ndizo sera za msaliti ZITTO... Anaficha sera za ukabila kwenye blanketi la ujana.
 
Ikumbukwe kuwa Zitto ni representative ya vijana WASILITI,WAOGA na WABINAFSI!Aidha kijana mwingine anayepigiwa chapua J.Makamba alikuwa akitoza dola 500 mpaka 1500 kama kiingilio cha kuonana na rais IKULU.Vilevile ana kashfa ya kuiba paper pale Galanos Sec(Galax).Nawaonjesha tu wale fata upepo.sioni kijana mwenye credibility.Chama changu nakitakia malezi mema kwa J.Mnyika na Tundu Lisu hawa ni wazalendo

Nakumbuka pia alikuwa anavuta ban.ghe!
 
Akili yako imetunzwa kwenye makabati ya ufipa... hatutaraji uchangie cha maana zaidi ya upuuzi...

John Mnyika hawezi hata kuwa Waziri. Umesahau kuwa alifeli Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam? Huyo hana tofauti na mwenyekiti wake Mr. Zero

Mambo ya kuwa na Rais anayesinzia akiwa mkutanoni kama Wasira, ambaye mwili umeishachoka kama Lowassa, na anayevalishwa pampus ya kujikojolea kama Sata wa Zambia hatutaki.

Hatutegemei jipya kutoka kwako mchaga. Unadhani watanzania ni wajinga wafanye kosa kuwakabidhi Chadema nchi chama kilichojengwa kwenye misingi ya ukabila na udini? Watanzania wa leo sio wa jana.

Umeenza na UKABILA ambayo ni sera ya ACT... Sasa Malizia sera yenu ya UDINI..
 
Kumbuka Hoja hii ya Januari Makamba na Zitto imebeba UDINI na ukabila.. Kama hujui acha!

Sahihi kwa mtazamoa wako kuijadili hoja na kumjadili mtu katika misingi ya udini na ukabila? je tutapata kiongozi bora?
 
ikumbukwe hata jk aliingia kwa gia ya ujana lakini mpaka anazeekea ikuru maisha bado magumu
Maisha ni magumu kwako, sio kwa waliokomba billion 200 anazopigia kelele Kafulila pamoja na wanaoneemeka na kandarasi za serikali hii!
 
Back
Top Bottom