Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Mkuu umemaliza kila kitu,kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake,sasa kwa nini akiyatoa ZZK hawa akina Makene & Co. wanatokwa na povu?Kuna kitu nyuma ya pazia tu.

Tunaomjua Zitto ni lazima tutoe tahadhari,unajua hapa hutuzungumzii kiranja,tunaongelea head of state
 
Tunahitaji kiongozi shupavu, awe mzalendo zaidi ya E. M. Sokoine.

Suala la ujana au uzee, sio tatizo, kikubwa awe na uwezo.

Kama mnakumbukumbu, nadhani mnatambua uwezo uliojionesha kati ya Raila Odinga na Uhuru Kenyata wakati ule wa zogo la WEST GATE MALL.
 
Mkuu umemaliza kila kitu,kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake,sasa kwa nini akiyatoa ZZK hawa akina Makene & Co. wanatokwa na povu?Kuna kitu nyuma ya pazia tu.

Mkuu kwa upande wa kupata mgombea wa urais kutoka chadema itabidi kigezo no. 5 alichoweka Zitto kiondolewe.
Sera za ZITTO ni UDINI na UKabila
-CCM imetumia Sh bilioni 3,659,000,000/ Kumpa ZITTO ili AIHUJUMU CHADEMA.
  • Ebu fikiria Ikiwa kujenga DARASA 1 ina gharimu Tsh Milioni 10 vingejengwa vyumba vya Madarasa 365, sawa na Shule 45.
  • Kama zahanati 1 Itagharimu Tsh milioni 20 ingejenga Zahanati 182.
  • Ikiwa Kuchimba Kisima kimoja ni Tsh million 10 vingechimbwa visima 365.
  • Vocha 1 ya kilimo ina ghalimu Tsh 100,000/ Wakulima 36,590 wangepata vocha.
  • Kwa hali hii kweli ZITTO ni Mzalendo kwa nchi? je anafaa kugombea urais?
  • TAFAKARI!
 
Wakuu sifa ya ujana inakosa nguvu kwa vile baadhi ya wagombea watarajiwa wanaofahamika ni watu wazima,kwa maana hiyo akina Zito wanaonyesha kuwa wanawaogopa wagombea hao walio na umri mkubwa na hivyo kutumia sifa ya ujana kuwapunguzia nguvu.Hata hivyo,vijana wa nchi yetu hii ndio wala rushwa wakubwa.Wote tunawajua huko trafiku polisi na maeneo yote ya hudums.Tena vijana hawana hata uoga kidogo,wanatafuta utajiri kwa njia yoyote mapema iwezakanavyo.Kiukweli,Zito anawea kuuwa mfano mzuri,can we trust him baada ya kuwazunguka wenzake waliomwamini huko CHADEMA?Hao ndii vijana wa Tanzania kwa sehemu kubwa!
 
Nachokoza mjadala.

Pamoja na yote haya Zitto ni hazina kubwa waloipoteza Chadema na anafaa kuwa mgombea Urais!
 
Wewe mjinga kweli, rais atakuwa jiwe si mtu? Hoja tunayoijadili imeletwa na nani? si huyu huyu Msaliti na mkabila Zitto?

"eveybody is genius but if you judge a fish by its ability to climb a tree it will live a whole life believing it is stupidity"
 
tujadili sifa za rais ajaye sasa wewe unajadili zitto hili tatizo la kupinga kila kinachosemwa na usiye mpenda ndio kinachowatesa ccm kwenye bunge la katiba hoja yeyote inayoletwa na chadema iwe nzuri au mbaya inakuwa rejected sasa kama na ninyi chadema mnahizo tabia za kupinga kila kitu na ninyi mjipange kupingwa kila kitu

1. Awe kijana
2. Awe ni rais atakayeliunganisha taifa
3. Awe anaijua historia ya nchi yake vizuri kwa maana ya ilikotoka, iliko na inakokwenda
4. Awe na uwezo wa kufanya uamuzi mgumu kwa ajili nchi yake.
5.Awe tayari kuondoa matabaka yaliyoko nchini(ukabila, udini n.k

Akifafanua sifa ya ujana ZITTO alitolea mfano viongozi wa Tanzania waliopewa nafasi za uongozi wakiwa vijana na kufanya vizuri kuwa ni pamoja na JULIUS NYERERE, Jaji Mstaafu Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim.

ZITTO KABWE anaungana na Jaji Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim Katika mtazamo wa Rais ajae kuwa Kijana.

source: jambo leo

Haya ni maoni ya kiumbe anyeangalia pua tu na sio ya mtu mwenye utashi wana mapenzi mema na nchi yake. Viana wa sampuli ya ZITTO, Januari, na wengineo apenda rushwa na hongo hawawezi kujihesabu kuwa nao ni vijana wanaofaa kuongoza. Tatizo sio Umri bali ni UDILIFU, UWEZO WA KUONGOZA NA UAMINIFU. AWE MZEE AU KIJANA kuna misingi inamfanya mtu kuwa kiongozi. Siyo tu nadharia mfu na za kipunguani at kijana! Vijana wanaojipitisha wote ni wapenda anasa, malaya, wasiojua majukumu na hawajapikika kiuongozi na ndio maana ------------ na kusaliti wananchi.
Wapo vijana wanaofaa kuwa viongozi ila siyo sampuli za viraka kama ZITTO na Janiuari Makamba. Bora fisadi Mzee kuliko fisadi kijana!!
 
wenzio wanasema hivi

Usishangae watu wa aina hii wakiwa wazee kutokana na uroho wao wakatamka sasa ni zamu ya wazee
 
Nachokoza mjadala.

Pamoja na yote haya Zitto ni hazina kubwa waloipoteza Chadema na anafaa kuwa mgombea Urais!
amekuwa na kashfa nyingi
Mtanzania1 10:28 20th September 2012
By Mr. President:
Weee.... who told u Zitto anachukiwa kisa dini..?? Zitto ana uchu wa madaraka, pili ANACHUNGUZWA KUHUSU KASHFA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, kuhusu IPTL, each month Tanesco walikuwa wanalipa IPTL FEDHA ZA MAFUTA KUENDESHEA GENS, HUKU MAJI YAPO KUMBE NI MCHEZO WA KUKATA MAJI PURPOSELY, the wana amuru tanesco iwalipe fedha ili kununua mafuta kuwasha generators za IPTL, Zitto alikuwa anapata GAWIO LAKE TENA KUBWA TU, KAMATI YA NISHATI NA MADINI YA BUNGE HADI IMEVUNJWA, ila ZITTO yupo CHC of which anajua inside out ya scandal nzima long time na alikuwa anachukua chake, Zitto mla rushwa mkubwa, HUONI KATULIA AIBU IMEMFIKA ANADECLARE HATAKI ALLOWANCES ZA BUNGE KUMBE ANAKULA RUSHWA KUBWA thru IPTL dili la mafuta, Prof. Muhongo kasema wengi wataaibika.... So stop defending a guy u don't know.....
 
kwani aliyo sema zito. yana tatizo gani? au kwa kuwa kila anachosema lazima yahusishwe na ugomvi ulipo kati yenu tumechoka na huu ujinga

Mkuu ugonvi upi tena? Hivi mtu akiwa na mawazo tofauti na mfumo kumbe automatically yuko UPINZANI? Basi wengine itabidi tuache kuchangia au siyo mkuu?
 
hivi chadema iitamsimamisha dr .slaa mwakani pamoja na madhaifu yake
 
Wakuu sifa ya ujana inakosa nguvu kwa vile baadhi ya wagombea watarajiwa wanaofahamika ni watu wazima,kwa maana hiyo akina Zito wanaonyesha kuwa wanawaogopa wagombea hao walio na umri mkubwa na hivyo kutumia sifa ya ujana kuwapunguzia nguvu.Hata hivyo,vijana wa nchi yetu hii ndio wala rushwa wakubwa.Wote tunawajua huko trafiku polisi na maeneo yote ya hudums.Tena vijana hawana hata uoga kidogo,wanatafuta utajiri kwa njia yoyote mapema iwezakanavyo.Kiukweli,Zito anawea kuuwa mfano mzuri,can we trust him baada ya kuwazunguka wenzake waliomwamini huko CHADEMA?Hao ndii vijana wa Tanzania kwa sehemu kubwa!

Hata majambazi na wakabaji ni vijana.
Tamaa bado ni kubwa kwa vijana.Wasije wakaanza kugawana nchi kwa uchu wa mararaka
 
Sifa ya kuchukia rushwa naona haitajwi .Sifa ya uzalenzo haitajwi, Sifa ya record nzuri ya uchapakazi haitajwi pia. Tunataka tutoke tulipo tufike mbali. Kama mtu hana sifa hizi tatu za nyongeza then akawa Rais tutaendelea kubaki tulipo. Acheni kutulaghai na sijui awe kijana. Kama ni kijana na amekosa sifa nilizo zitaja then bora awe mzee mwenye siafa hizo.
 
1. Awe kijana
2. Awe ni rais atakayeliunganisha taifa
3. Awe anaijua historia ya nchi yake vizuri kwa maana ya ilikotoka, iliko na inakokwenda
4. Awe na uwezo wa kufanya uamuzi mgumu kwa ajili nchi yake.
5.Awe tayari kuondoa matabaka yaliyoko nchini(ukabila, udini n.k

Akifafanua sifa ya ujana ZITTO alitolea mfano viongozi wa Tanzania waliopewa nafasi za uongozi wakiwa vijana na kufanya vizuri kuwa ni pamoja na JULIUS NYERERE, Jaji Mstaafu Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim.

ZITTO KABWE anaungana na Jaji Joseph Waryoba na Salim Ahamed Salim Katika mtazamo wa Rais ajae kuwa Kijana.

source: jambo leo

kwenye matabaka hakusema matabaka ya kipato,,,,so sifa za rais wa zitto si za kupunguza umaskin miongon mwa watz
 
Back
Top Bottom