Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

JK akae kimya tu asitake watu tulimwe ban hapa na hizi ajenda zai za kitoto..rais kijana ndio nini!?
 
kijana kama j makamba anaubavu wa kuwakemea rafiki wa baba yake? Mi nataka raisi anayejiheshimu,anapenda nchi,anayechukia rushwa na umasikini wa watanzania sitojali umri

unafikiri ni nani mwenye hizo sifa ulizozitaja?
 
Inaonekana staili ya Siasa Za Januari haijamfurahisha....Rais Kikwete .....especially kitendo cha January akiwa Msaidizi wake ...kwenda kugombea Ubunge bila hata kumuaga...mentor na bosi wake ( Kikwete )......unajuwa hata katika Hali ya kawaida ukiwa na Msaidizi wako tena Binafsi ...anafanya mambo hakuombi hata Ushauri ..Wakati wewe yako anakushauri ...utakuwa offended ..

Hili la pili la kugombea urais bila hata kumuamba Ushauri ...naweza kumuelewa Januari ..Kwani Kama alipogombea Ubunge hakuna haja ya kuomba Ushauri kwa Rais .....sitegemei Kama kwenye hili Angeomba Ushauri ......Kikwete Khahisi Januari anadharau Wazee

Pili ...utamaduni ndani ya chama wa Kuomba "ruhusa " kwa Wazee Kama hajafanya jambo upo ...Ndio maana hata ukitaka uongozi...chini kuna kanuni ya " kujipitisha " ....hata Kama ni kwa Wazee au watu wenye influence ..." Kuwaomba ruhusa" ni utaratibu wa nidhamu ........kwa mfano Kama ni hapa DAR unataka Ubunge sio vibaya kupita kwenye Club Za Wazee wa mjini ....ie Saigon Club, Hellenic ,Gymkhana etc ...at least " Wazee " wakuone na wakujuwe...

Unataka urais Sio vibaya kabla ya kutangaza...HADHARANI kuomba miadi ya kahawa na watu Kama ....Mzee Mwinyi,Mzee Mkapa , Mama Maria Nyerere na Msuya ,Kisumo,,Salim ,Malecela, Makamba sr etc

Zamani ilikuwa Kama alivyosema Kikwete ...walikuwa wanapita kwa Mwalimu..,Mzee Kawawa.,Thabit Kombo, na watu wengine Kama Maj Gen Said Natepe etc .........yeyote Kati Yao akinughunika Kama alivyosema Kikwete kwamba Hana taarifa zako basi inahatarisha Jina kupita
 
No thank you,Kama issue zenyewe ndio hizo leo wewe chungwa kesho limao,no sasa hivi wabongo wako kivingine,haijalishi wewe kijana au mzee,cha msingi this time watu wanamind mchapa kazi,watu kipindi klichopita waliconsider factor hizo za ujana,and then what next.......

Kama vijana ndio hao leo anaongea hivi kesho akiwekwa sawa na wasure akikamata fuba lake anawageuka wabunge thubutu.Ilo this time halipo watu wako full data,Ili uwe Prezidar kweli wa TAIFA hili uko mbele ya safari you need to be CLEAN REAL CREAN,sio uchukulie umepiga deal UK or GMNY ufikilie watu hawataikamata nyeti.Watu wanadaka wanakusubilia kwenye KIU.Watu eeeeeh watu waaaa.

Usafi Usafi ndio jibu la kuwania upresidar wa Tanzania.
Makamba kwanza hapa adanginyiki mtu go... January go...
 
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.

Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:

"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Mwambie Jk ajiandae kisaikolojia maana raisi wa Tz atakuwa Tundu Lissu
 
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.

Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:

"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Rais aliyepo madarakani hana mamlaka ya kuamua nani amrithi. Uamuzi wa nani awe Rais baada ya yeye kuondoka ni wa watanzania wenyewe. 2015 tunataka Rais siyo rahisi!
 
Tanzania at some point is democratically Mad,hence the ugly dividends of our young democracy.But there is hope,Our democracy will work soon and becoming the becoan for the hope in region.Will need to keep practicing democracy until it grows to what we want,I believe Americans were once in this our stage where every body is abusing the true meaning of Democracy.

Iam out for now!

We nawewe si uchangie kwa kiswahili, mi huku Nkalaro Bukwimba Mwanza siwaelewi mkichanganya hiyo lugha yenu.
 
No thank you,Kama issue zenyewe ndio hizo leo wewe chungwa kesho limao,no sasa hivi wabongo wako kivingine,haijalishi wewe kijana au mzee,cha msingi this time watu wanamind mchapa kazi,watu kipindi klichopita waliconsider factor hizo za ujana,and then what next.......

Kama vijana ndio hao leo anaongea hivi kesho akiwekwa sawa na wasure akikamata fuba lake anawageuka wabunge thubutu.Ilo this time halipo watu wako full data,Ili uwe Prezidar kweli wa TAIFA hili uko mbele ya safari you need to be CLEAN REAL CREAN,sio uchukulie umepiga deal UK or GMNY ufikilie watu hawataikamata nyeti.Watu wanadaka wanakusubilia kwenye KIU.Watu eeeeeh watu waaaa.

Usafi Usafi ndio jibu la kuwania upresidar wa Tanzania.
naunga mkono hoja sisi hatuchagui sura ;umri au kabila tunataka watu wazalendo na wachapa kazi kama dr slaa
 
naunga mkono hoja sisi hatuchagui sura ;umri au kabila tunataka watu wazalendo na wachapa kazi kama dr slaa

mkuu slaa ni mkabila, mdini, mwizi wa ruzuku ya chama, mwizi wa wake za watu, mdini na mwongo.2015 tumuunge mkono kijana mwenzetu January makamba tuache unafiki sisi vijana.
 
Nimesha elewa kumbe JK alikuwa anajibu mapigo ya EL alivyomponda kuwa hawezi kufanya maamuzi magumu, na yeye anampasha kuwa urais atausikia redioni tu, kweli hawa mabest wawili ni wasanii

There is a serious game behind these two old friends
 
Thrice, this kind of choice, heavy handed endorsement by the incumbent has proved to be a messy affair in collosal proportions. Threads in this FORUM are testimony and essential statistic to that.
Fourth time this round? No Doctor! Doctor No! No Doctor. In the current setting, even a stray cat from the filthiest of markets, a tenacious and cheeky one in its daydreams, sees justification to seek the highest office in the land! Shaven or otherwise. No!
 
Back
Top Bottom