Endelea kuota tu! Unadhani watanzania ni wajinga kiasi hiki mpaka wawakabidhi nyie Chadema nchi? You need to be serious! Changamoto hizo ndogo tu kwenye chama zimewashinda ndo muwaze kupewa nchi!
For your information, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye yuko tayari kuwakabidhi nchi wabaguzi kama Chadema. Uchaguzi ungekuwa unafanywa na wachaga kweli nchi mngechukua lakini kwa sababu ni watanzania wote, naomba tu uendelee kuota tu.
Katika ulimwengu huu wa sayansi na technology, chama kinaongozwa na mwenyekiti aliyepata sifuri mitihani ya sekondari halafu eti chama hicho kinalenga kufanya mabadiliko!! Mabadiliko gani yanayoweza kufanywa na mtu aliyeferi mtihani wa sekondari?
Mbaya zaidi uongozi wote wa juu umejaza watu waliomaliza darasa la saba au waliofeli mtihani wa sekondari. The likes of Mchungaji Msigwa, Sugu, Lema na Mnyika aliyefeli chuo kikuu cha Dar es Salaam. Unategemea nini kutoka kwa kundi la mbumbumbu waliojikusanya pamoja? Hao wote wameingia kwenye siasa sababu ya njaa zao. Ukisha feli mitihani you have no option, you just join politics.
CCM wana mapungufu yao tena makubwa lakini it is far better kuliko hao wapuuzi Chadema. Makene you are just wasting time. Chadema hata siku moja hawawezi kabidhiwa nchi. Kipofu huwa hawezi kuongoza mtu anayeona. Kuliko hii nchi kuwakabidhi Chadema Bora tuendelee na hao hao Ccm
Huyu ndiyo kijana wa kileo sasa.
Vijana wa panya wamechakachuliwa wamebaki makapi tupu, ubongo umekuwa tope.