Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Naunga mkono hoja japo naona jambo zaidi, Tufikirie zaidi kuhusiana na hoja hii tusikurupuke namna hiyo na bila kushambuliana tutazame kontent, Biblia inasema "wazee wataota ndoto na vijana wataona maono" hili ni Taifa letu sote na hakuna mtu wa kuchagua aina ya kiongozi tuwaze kwa mapana zaidi na hapa tunapowaza kwa sasa.
 
Umri wa mtu si kigezo cha kuwa Rais bali busara,hekima na uwezo wa kuongoza.
 
Ni utoto kama si ushamba kuujadili urais wa nchi hii kwa minajili ya rika.

Tatizo kubwa IKULU ya TANZANIA imechezewa chezewa kiasi kwamba kila mtu anajiona ana uwezo wa kuwa rais.

Kama si muadilifu, mwajibikaji, mwenye dira sahihi ya wapi taifa linaitaji kwenda na mzalendo kwa nchi uwe kijana uwe mzee haufai kuiongoza nchi hii.
 
Of course kwa hapa tulipofikia CCM ni sehemu ya matatizo na pia ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii which means hatutegemei mtu atayechukua nafasi hiyo atoke CCM!

Hapa tulipokwama hatuwezi kunasuka kwa kuendelea na CCM! Tutakuwa tumeongeza kiwango cha ujinga na kutojitambua!

Wenye kampeni hii wanataka kuuzia watu mbuzi kwenye gunia kwa namna ile ile walivyofanya mtandao walipomvika Kikwete sifa za UJANA.

Nani asiyejua kuwa Kikwete aliingia kwa gia na sifa ya ujana!!!??? Leo hii hali ikoje?

Endelea kuota tu! Unadhani watanzania ni wajinga kiasi hiki mpaka wawakabidhi nyie Chadema nchi? You need to be serious! Changamoto hizo ndogo tu kwenye chama zimewashinda ndo muwaze kupewa nchi!

For your information, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye yuko tayari kuwakabidhi nchi wabaguzi kama Chadema. Uchaguzi ungekuwa unafanywa na wachaga kweli nchi mngechukua lakini kwa sababu ni watanzania wote, naomba tu uendelee kuota tu.

Katika ulimwengu huu wa sayansi na technology, chama kinaongozwa na mwenyekiti aliyepata sifuri mitihani ya sekondari halafu eti chama hicho kinalenga kufanya mabadiliko!! Mabadiliko gani yanayoweza kufanywa na mtu aliyeferi mtihani wa sekondari?

Mbaya zaidi uongozi wote wa juu umejaza watu waliomaliza darasa la saba au waliofeli mtihani wa sekondari. The likes of Mchungaji Msigwa, Sugu, Lema na Mnyika aliyefeli chuo kikuu cha Dar es Salaam. Unategemea nini kutoka kwa kundi la mbumbumbu waliojikusanya pamoja? Hao wote wameingia kwenye siasa sababu ya njaa zao. Ukisha feli mitihani you have no option, you just join politics.

CCM wana mapungufu yao tena makubwa lakini it is far better kuliko hao wapuuzi Chadema. Makene you are just wasting time. Chadema hata siku moja hawawezi kabidhiwa nchi. Kipofu huwa hawezi kuongoza mtu anayeona. Kuliko hii nchi kuwakabidhi Chadema Bora tuendelee na hao hao Ccm
 
Ni utoto kama si ushamba kuujadili urais wa nchi hii kwa minajili ya rika.

Tatizo kubwa IKULU ya TANZANIA imechezewa chezewa kiasi kwamba kila mtu anajiona ana uwezo wa kuwa rais.

Kama si muadilifu, mwajibikaji, mwenye dira sahihi ya wapi taifa linaitaji kwenda na mzalendo kwa nchi uwe kijana uwe mzee haufai kuiongoza nchi hii.

Hatutegemei jipya kutoka kwako mchaga. Unadhani watanzania ni wajinga wafanye kosa kuwakabidhi Chadema nchi chama kilichojengwa kwenye misingi ya ukabila na udini? Watanzania wa leo sio wa jana.
 
Rais wangu 2015 ni Edward Lowasa.ED songa mbele,usikatishwe tamaaaa,songa mbele,songa songa songa mbeleee,usirudi nyuma! WENYE WIVU MJINYONGE!
 
Uzee si ugonjwa wala Ujana si tiba. Vijana wa type ya ZZK, JM, Kigwangala, Mwigulu et al hawana sifa ya uogozi hata kidogo. i vijana kwa nje tu, ndai wamezeeka, wameoza kimaadili. Nyerere, Salim au Warioba anaowapigia mfano ZZK hawakufanya propaganda ili wachaguliwe kuwa viongozi. Au ZZK anataka kutuaminisha enzi za Mwl Nyerere hapakuwa na wazee? ZZK aje hapa atueleze kashfa ya Mwl Nyerere, Salim, au Warioba enzi za ujana wao kabla hawajapewa uongozi. Hatuwezi kumchagua mtu kuwa kiongozi eti kwa sababu ni kijana wakati kijana huyu huyu ana kashfa na walakini kila kona alikopita. Nasema no... Mwl Nyerere, Salim, Warioba waliaminika wakaombwa kuwangoza wazee, sio hawa vijana wa type ya ZZK, JM et al wanaojiona wao bora kuliko wengine. Pigeni kazi, wenye macho watanzania tutawaomba mtuongoze. Lakini nakuhakikishieni mkitumia option hii ya kuombwa mtasubiri sana, manake mshachafuka siku nyingi na hamfai kwa yeyote anaetumia akili kufikiri na anaeitakia mema nchi hii. Turufu yenu ni propaganda ya ujana na kubebwa na vyombo vya habari...
 
Kampeni hii ya Sifa ya ujana, mbali ya kwamba inabeba dhana ya ubaguzi lakini pia inabeba dhana ya uoga na hofu!

Hiyo ni mbali na mkakati mwingine ulioko nyuma ya mapazia.

Wanaoipigia chapuo kama ndiyo sifa kubwa ya wao kufanikisha tamaa, uchu wa kuwa blockers wa kisiasa, (naamini akina Warioba na Salim hawamo katika hila hizo) wanasumbuliwa na mambo hayo!

Naona hiki kikampeni kimefufuliwa tena. Kilikufa kifo cha mende wakati fulani hasa baada ya Mzee Butiku kuwalipua pale Ukumbi wa Nkrumah, UDSM!

Ilikuwa baada ya wanazuoni makini na mahiri vijana kama Sabatho Nyamsenda, Bashiru Ally et all kuandika kwa details na kuonesha ubaguzi huo wa kukimbilia ujana eti sifa ya kupambana na watu wengine wenye umri mkubwa wenye sifa za uongozi lakini wanawatia kiwewe vijana.

Ilikuwa ni baada ya wananchi kuendelea kuonesha imani kubwa na watu wengine badala ya watu wanaojigamba kwa sifa ya ujana pekee huku wakiwa wameharibikiwa kweli kweli kwenye sifa za msingi za uongozi.

Nao wanajua kuwa jambo pekee wanaweza kujivunia nalo ni umri, mbali ya hapo ni questionable tu!

Waambieni wafanye Kazi, wafuate ushauri wa Butiku. Ujanja ujanja huu hautasaidia.

Hakuna mahali panasema Mwalimu Nyerere, Warioba na Salim walifanya vizuri kwa sababu walikuwa vijana unless mnataka kusema walipoongezeka umri waliboronga katika nafasi zao! Jambo ambalo si kweli kwa sababu hao hao tumewaona wakifanya mambo makubwa zaidi ya uongozi uliokomaa wakiwa umri mkubwa wa kutosha kuitwa wazee!

Hivi kwa nini mnakuwa obsessed na zitto??

hayo n mawazo yake tu, wala hayawezi ku dictate

unapokuja na lingonjera lirefu kama hili, ndio wewe ssa unaamsha watu wawaze kuna nini nyuma ya pazia??

Zitto ni binadamu, na wewe pia....mko tofauti. Hiwezekani ninapotoa maoni nifanane na mtu mwingine AU nikiyatoa nifikiriwe VIBAYA

huyu jamaa mbona anajiishia maisha yake ya kusema anachowaza?? ndio yuko hivyo..kamon! get life

absurd!
 
Hapo kuna ujanjaujanja wa ccm

Lengo nikuwekeza kwa watakaoweza kulinda maslahi ya kifisadi ya baba zao na washirika wao.

1. Makamba, mbeleko ya kikwete imemfikisha hapo alipo jambogani kubwa la kihitoria kafanya kutushawishi eti anamaamuzi magumu? hana lolote.

2. Zitto kabwe, huyu naye kwanza hana chama ACT bado kabisa, mnafiki na muwongo kwa kauli tata ambazo hushindwa kuzitekeleza hivyo hata ugombea binafsi hana vigezo.

3. malima ndo huyo anayetembea na SMG kwenye magesti namalaya akiibiwa mpaka laptop nk

4. Ngereja, yeyealishashindwa wizara ya madini na kufumliwa anawezaje uras ikiwa wenyewizara zote iwapo wizara moja ilimshinda.

5. Makonda yeye ni mropokaji, hana dira mizizi wa focus na nimkweji wakutumiwa na wenyembwa, hana standing balance ya miguu yake.

6. Vita Kawawa, huyu hatambuliwi popote, labda huko nanyumbu kwao

Labda wazee, lakini ndani ya ccm safu yao ya wazee wote wameelemewa na ufisadi, maamuzi ya kifisadi, hawajiamin, wababaishaji na wamepakatiwa na mafisadi.

Wagombea sahihi wa urais wapo kambi za wapinzani, huko kuna vichwa kuanzia vijana mpaka wazee wanaoweza kulitowa taifa na kulipeleka mbele katika anga zote za kimaendeleo.

mkuu hivi chadema hakuna vijana wanaoweza kufaa kugombea uraisi?
 
of course kwa hapa tulipofikia ccm ni sehemu ya matatizo na pia ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii which means hatutegemei mtu atayechukua nafasi hiyo atoke ccm!

Hapa tulipokwama hatuwezi kunasuka kwa kuendelea na ccm! Tutakuwa tumeongeza kiwango cha ujinga na kutojitambua!

Wenye kampeni hii wanataka kuuzia watu mbuzi kwenye gunia kwa namna ile ile walivyofanya mtandao walipomvika kikwete sifa za ujana.

Nani asiyejua kuwa kikwete aliingia kwa gia na sifa ya ujana!!!??? Leo hii hali ikoje?

mkuu penda usipende rais lazima atoke ccm, usijipe matumaini sana coz utakuja kufa na pressure, time will tell the truth
 
Mnafiki hana jipya... ujana? Ok aoe sasa tumpatie urahisi wa TFF
 
mkuu hivi chadema hakuna vijana wanaoweza kufaa kugombea uraisi?

hapa chini mkuu, kama ulinisoma mpaka mwisho.

quote_icon.png
By adolay

Hapo kuna ujanjaujanja wa ccm

Lengo nikuwekeza kwa watakaoweza kulinda maslahi ya kifisadi ya baba zao na washirika wao.

Labda wazee, lakini ndani ya ccm safu yao ya wazee wote wameelemewa na ufisadi, maamuzi ya kifisadi, hawajiamin, wababaishaji na wamepakatiwa na mafisadi.

Wagombea sahihi wa urais wapo kambi za wapinzani, huko kuna vichwa kuanzia vijana mpaka wazee wanaoweza kulitowa taifa na kulipeleka mbele katika anga zote za kimaendeleo.
 
endelea kuota tu! Unadhani watanzania ni wajinga kiasi hiki mpaka wawakabidhi nyie chadema nchi? You need to be serious! Changamoto hizo ndogo tu kwenye chama zimewashinda ndo muwaze kupewa nchi!

For your information, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye yuko tayari kuwakabidhi nchi wabaguzi kama chadema. Uchaguzi ungekuwa unafanywa na wachaga kweli nchi mngechukua lakini kwa sababu ni watanzania wote, naomba tu uendelee kuota tu.

Katika ulimwengu huu wa sayansi na technology, chama kinaongozwa na mwenyekiti aliyepata sifuri mitihani ya sekondari halafu eti chama hicho kinalenga kufanya mabadiliko!! Mabadiliko gani yanayoweza kufanywa na mtu aliyeferi mtihani wa sekondari?

Mbaya zaidi uongozi wote wa juu umejaza watu waliomaliza darasa la saba au waliofeli mtihani wa sekondari. The likes of mchungaji msigwa, sugu, lema na mnyika aliyefeli chuo kikuu cha dar es salaam. Unategemea nini kutoka kwa kundi la mbumbumbu waliojikusanya pamoja? Hao wote wameingia kwenye siasa sababu ya njaa zao. Ukisha feli mitihani you have no option, you just join politics.

Ccm wana mapungufu yao tena makubwa lakini it is far better kuliko hao wapuuzi chadema. Makene you are just wasting time. Chadema hata siku moja hawawezi kabidhiwa nchi. Kipofu huwa hawezi kuongoza mtu anayeona. Kuliko hii nchi kuwakabidhi chadema bora tuendelee na hao hao ccm

ndugu yangu mimi ni chadema, ila maneno uliyosema yako sawa kabisa, juzi tulikua kwenye basi tukitokea moshi, tulikua tukijadili haya mambo ya rais, cha ajaabu watu wote walikua chadema lakin cha kushangaza zaidi walikuwa wakisema sio raisi nchi ikabidhiwe wachaga(chadema), yaani badala ya kusema si rahis nchi kukabidhiwa cdm badala yake wanasema wachaga, nilijiuliza hivi chadema ni wachagaa?? Nikawauliza kwanini mnasema nchi haiwezi kukbidhiwa wachaga, wakanijibu Hujui CHADEMA ni kina nani??? mabya zaid wakanitukana eti mimi ni kilaza na mchimba chumvi kisa sijui cdm ni kina nani.

Tafakari, chukua hatua
 
Kampeni hii ya Sifa ya ujana, mbali ya kwamba inabeba dhana ya ubaguzi lakini pia inabeba dhana ya uoga na hofu!

Hiyo ni mbali na mkakati mwingine ulioko nyuma ya mapazia.

Wanaoipigia chapuo kama ndiyo sifa kubwa ya wao kufanikisha tamaa, uchu wa kuwa blockers wa kisiasa, (naamini akina Warioba na Salim hawamo katika hila hizo) wanasumbuliwa na mambo hayo!

Naona hiki kikampeni kimefufuliwa tena. Kilikufa kifo cha mende wakati fulani hasa baada ya Mzee Butiku kuwalipua pale Ukumbi wa Nkrumah, UDSM!

Ilikuwa baada ya wanazuoni makini na mahiri vijana kama Sabatho Nyamsenda, Bashiru Ally et all kuandika kwa details na kuonesha ubaguzi huo wa kukimbilia ujana eti sifa ya kupambana na watu wengine wenye umri mkubwa wenye sifa za uongozi lakini wanawatia kiwewe vijana.

Ilikuwa ni baada ya wananchi kuendelea kuonesha imani kubwa na watu wengine badala ya watu wanaojigamba kwa sifa ya ujana pekee huku wakiwa wameharibikiwa kweli kweli kwenye sifa za msingi za uongozi.

Nao wanajua kuwa jambo pekee wanaweza kujivunia nalo ni umri, mbali ya hapo ni questionable tu!

Waambieni wafanye Kazi, wafuate ushauri wa Butiku. Ujanja ujanja huu hautasaidia.

Hakuna mahali panasema Mwalimu Nyerere, Warioba na Salim walifanya vizuri kwa sababu walikuwa vijana unless mnataka kusema walipoongezeka umri waliboronga katika nafasi zao! Jambo ambalo si kweli kwa sababu hao hao tumewaona wakifanya mambo makubwa zaidi ya uongozi uliokomaa wakiwa umri mkubwa wa kutosha kuitwa wazee!

Ni utoto kama si ushamba kuujadili urais wa nchi hii kwa minajili ya rika.

Tatizo kubwa IKULU ya TANZANIA imechezewa chezewa kiasi kwamba kila mtu anajiona ana uwezo wa kuwa rais.

Kama si muadilifu, mwajibikaji, mwenye dira sahihi ya wapi taifa linaitaji kwenda na mzalendo kwa nchi uwe kijana uwe mzee haufai kuiongoza nchi hii.

Bahati nzuri ni kwamba ndani ya CDM kuna mtu Spesho wa kugombea uraisi na vijana wa CDM kamwe hamruhusiwi tofauti na mawazo ya wateule yaani hata wewe katibu wa Bavicha hutaki vijana wenzako waukwae uraisi?? wewe unawakirisha vijana wa aina gani? ina maana kina Mnyika, Lissu, Lema, Msigwa hawafai kuwa maraisi kweli?? hadi mteule mmoja tu?
 
hapa chini mkuu, kama ulinisoma mpaka mwisho.

quote_icon.png
By adolay

Hapo kuna ujanjaujanja wa ccm

Lengo nikuwekeza kwa watakaoweza kulinda maslahi ya kifisadi ya baba zao na washirika wao.

Labda wazee, lakini ndani ya ccm safu yao ya wazee wote wameelemewa na ufisadi, maamuzi ya kifisadi, hawajiamin, wababaishaji na wamepakatiwa na mafisadi.

Wagombea sahihi wa urais wapo kambi za wapinzani, huko kuna vichwa kuanzia vijana mpaka wazee wanaoweza kulitowa taifa na kulipeleka mbele katika anga zote za kimaendeleo.

nitajie mmoja mkuu
 
Back
Top Bottom