kakison Alfred
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 364
- 209
ajiandae kuozea segelea,lazma arudishe mali zote za nchi hii,lazma anyolewe 2
Lowassa ni FISADI. Period.
Wewe ndiyo Chizi la kutupwa,
Unajua maana ya kumwajibisha mtu au unaropoka?
Kiwete wako hakumwajinisha Lowassa hata mara moja. Rejea kwenye Hansard za Bunge alichosema Lowassa.
Yeye alimwomba Kiwete kwa hiari yake mwenye ajiuzulu kama laivyofanyaga Mzee Mwinyi enzi za Mwalimu, hakuna tofauti na hili ili kuinusuru Serikali ya Kiwete.
Kama ni kumwajibisha kiukweli alipaswa KUMFUKUZA KAZI YA UWAZIRI MKUU na KUMFUNGULIA MASHTAKA kama ingelikuwa kweli. Ndiyo maana Kiwete siku zote amekuwa akichekacheka tu na kurudia maneno ya kuwa Rafiki yake Lowassa alipata ati 'ajali ya kisiasa!'
Hivo usitake kupotosha umma, kwani tunajua kila kitu.
Hovyo sana huyu mwenyekiti wa chama cha kijani, mbona ENL alinyojiuzulu alimsifia sana..huyu jamaa mnafiki sana.
kikwete nomaaaaa....lowassa hana chakeeeee
ni kweli swala la richmond ni mzigo wa lowassa!
Na ukweli wa Lowassa kutofaa kuwa mkuu wa nchi haubadili ukweli wa CCM kutofaa kuendelea kuwa chama tawala baada ya kushindwa kabisa kutawala kwa zaidi ya nusu karne.
Ukisema Lowassa hafai kuwa mkuu wa nchi na ukasema CCM nayo haifai kuendelea kutawala, basi hapo tutakuwa kwenye ukurasa mmoja.
Lakini usije na habari za eti Lowassa hafai halafu CCM wanafaa kuendelea kutawala kwa miaka mingine 5!
Nitakuona mwendawazimu!!
Kikwete alikua wapi miaka nane yote, inamaana lowasa asingetoka CCM tusingeyajua haya. HUU NI UNAFIKI WA HALI YA JUU SANAAA. Sidhani kama ataiona mbingu.
Leo ndo kajibu ili apate kuraa...!??atuambie kule monduli kauli yake ya ajali ya kisiasa alimanisha nn..dah watanzania tunaonekana kama hatuna akili walah
Naichukia CCM kwa dhati ....Nachukia na makandokando yake yote ....lakini siamini kwamba kumchagua Lowasa naichagua Chadema naitoa CCM ....zaidi ni uchaguzi wa kuamua nani aongoze na si vyama kwa nature ya wagombea wote .....nitakuwa kichaa nikiona Lowasa ni bora kwa magufuli ....