Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
Mbona Nimetazama Mkutano Na Kusikiliza Hotuba Zao Zoooote Pale Kirumba!! Sikusikia Hilo La Kumtaja Mh. Lowassa Kama NDIYE MHUSIKA Wa Richmond!! Sasa Mapenzi Yako Na Umbumbu Wako UWEKE Akiba Ya Maneno!! Muda Wa KAMPENI Umeisha Sasa!! Si Mlikuwa Mnatusi Watu Kwa Kujificha Ktk. Kampeni!!! Take Care!!!
 
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .

Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .

kaona hawawezi kujibu tuhuma hizo kwa sababu ni siku ya mwisho kufanya kampeni eti ndio anjifanya anaongea.
 
Kikwete Big up big Dad!!!

VIVA CCM

MAGUFULI HOYEEEEEEEEEEE

HAPA KAZI TUUUUUU

LOWASSA KWA MAGUFULI HUWEZI.

Lowassa jiandae kwenda kuchunga ng'ombe maake TINGA TINGA LINATINGA IKULU.

Lowassa OUT DK.90 Zuhura Yunus na Mangekimambi msisahau kusiriba mpaka asahau Mshenga na Shehe wake Wa Jangwani

Kazi gani ya kumbeba? Sawa na aliyekosa far as I husifia punda
 
Hapo anakiri udhaifu katika utawala wake, na anakiri pia udhaifu wa mfumo wa kiutawala. Kikwete alitakiwa kujiudhuru na kuwajibika kwa ajili ya makosa ya waziri wake mkuu kama waziri mkuu alvyowajibika kwa ajili ya makosa ya waliokuwa chini yake. Kikwete ni pooradminstrater.
 
Lowassa pia ndiye amemshauri jana afanye uteuzi wa akina Masswi wenye kashfa ya Tegeta escrow?Tatizo ccm wanatuona malofa na wapumbavu watz wote.Tunatakiwa kuwahakikishia kuwa sivyo.Tuwahakikishie kesho kwenye sanduku la kura.
 
Kafanya timing.Lowassa hataweza kujibu.
Alafu Lowassa alisema kuwa alijaribu kuvunja mkataba yeye JK akakataa.Mbona hajatolea ufafanuzi hilo?
 
ndo ujue kuwa tulikuwa na kiongozi kilaaaaaaazzzaaaaaaaaaa kweli kweli na hana huruma na tanzaniaaaaa

Hana aibu kusema hivyo!!!

Watanzania tulivyoteseka kwa kukaa kimya kwako? But pole tumeshakiacha chama chako kisichokuwa na maamuz,

Tuko VIVA UKAWA SASA, NA KURA ZETU ZOOOOTE KWA LOWASA. TUKO WENGI SN, HUKO UMEBAKI WW NA MAGIFULI TUU, wanaokuzunguka wote kesho watampa kura Lowassa tu. Si utaona matokeo
 
Akiongea leo Mwanza kwenye kufunga kampeni za ccm Mh.Jk amesema ni kweli alishiriki kwenye makubaliano ya kutafuta kampuni ya kufua umeme baada ya Mabwawa kukauka nchi, lakini hakushiriki kutafuta kampuni gani ilete umeme, hivyo hahusiki kwa namna yoyote kwa ujio wa Richmond.

Hivyo waziri Mkuu ndio mhusika mkuu wa Richmond!

Kwa hiyo yeye alionja mchuzi wa maharage ila anakataa huwa hali maharage?😀😀:thumbdown::thumbdown:
 
Uko ni kutapatapa kama angekuwa na Mapenz mema kwa tz na inge mcost nn kueleza mapema "coward sishangai after 8 yrs atakuja kutuambia wahusika wa escrow ili tu atimize malengo yake bt am worried he is too late for either watu wameshepima kama ni mchaw wameshamjua na maamuz wameshafanya
 
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .

Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .
mmmh! Mbona yanasemwa leo hayo wakati uchaguzi ukiwa ni kesho? mbona hana kesi mahakamani? utakuwa na kazi ngumu ya kuwaamisha wenye akili timamu kuhusu uhusiano wa richmond na lowassa
 
JK mpaka anatia huruma. Very low IQ. Sasa akapumzike tu na tutamsahau muda si mrefu.
 
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .

Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .
Baada ya kuona kanuni na sheria zimefungwa yeye kaamua kumfuta kazi na kumfikisha mahakamani kwa kufunja sheria hahahahahaha!Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
 
Hata mtoto mdogo huwezi mdanganya namna hii. Baada ya miaka eight, leo ndo inajitokeza kuzumzia Rich-mund. Its non sense.
 
We ongelea nafsi yako bwana hao watu 10000 nawafananisha na kundi la punda linaloongozwa na simba
Nimesoma comment za watu wengi wengi wanaonyesha kuwa na hasira na jk lakini nasikitika kusema baadhi yenu ndio mliomchagua Kwa kishindo 2005 Kwa imani ya maisha bora Kwa kila mtz. Vivyo hivyo kesho mtaenda kumchagua el Kwa imani ya mabadiliko na promise ya el ya kufuta umaskini kumbukeni el na jk walikuwa marafiki ambao hawakukutana barabarani Kwa mantiki hiyo walikuwa best friends na watu wa jinsi hii hufanana kiasi Fulani kitabia Kwa hiyo kwangu sitarajii maajabu yoyote.
 
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .

Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .
Sikupata nafasi ya kuangalia hiyo hotuba. Je, amegusia pia nani mhusika wa ESKROW au iwapo bado anaamini kuwa pesa za ESKROW sio za umma? Lowassa kawashika pabaya hadi m/kiti na rais anapagawa? Badala ya kutumia nafasi hiyo kuwaaga na kuwashukuru malofa na wapumbavu kwa kuvumilia uvasco wake, anabakia kupagawa!!
 
Najisikia raha sababu awamu zote mbili sikumpigia kura. Waliompigia kura watubu dhambi
Kama ni uchaguzi ule wa mwaka 2005 mimi nilimpigia?na kama na mimi nahusika ?basi kwa kweli NATUBU DHAMBI ZANGU KWA DHATI kwa Watanzania wote?Lakini sikumpigia mwaka 2010
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom