Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .

Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .
Akiongea leo Mwanza kwenye kufunga kampeni za ccm Mh.Jk amesema ni kweli alishiriki kwenye makubaliano ya kutafuta kampuni ya kufua umeme baada ya Mabwawa kukauka nchi, lakini hakushiriki kutafuta kampuni gani ilete umeme, hivyo hahusiki kwa namna yoyote kwa ujio wa Richmond.

Hivyo waziri Mkuu ndio mhusika mkuu wa Richmond!
 
kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye richmond,baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .

Hovyo sana huyu mwenyekiti wa chama cha kijani, mbona ENL alinyojiuzulu alimsifia sana..huyu jamaa mnafiki sana.
 
kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye richmond,baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .

Kamata weka ndani la sivyo hizo ni porojo na kura yangu kwa lowasa.
 
Alikuwa wapi kusema hayo kabakiza siku moja ikulu ndiyo anasema atuachie nchi salama.
 
Anajua watanzania tulio wengi wapumbafu ndio maana anajaribu kutumia njia hii kuongea kabla watu hawajajua ukweli tayari uchaguzi umeisha. Msidanganyike. Kama unapenda ukawa piga kura ukawa kama unataka ccm then sikiliza
 
Ccm hakuna wenye uwezo tens ni kama kumebaki genge la Majungu tu
 
Kwahiyo inatuhusu nini??

Ampeleke mahakamani.
 
Kikwete Big up big Dad!!!

VIVA CCM

MAGUFULI HOYEEEEEEEEEEE

HAPA KAZI TUUUUUU

LOWASSA KWA MAGUFULI HUWEZI.

Lowassa jiandae kwenda kuchunga ng'ombe maake TINGA TINGA LINATINGA IKULU.

Lowassa OUT DK.90 Zuhura Yunus na Mangekimambi msisahau kusiriba mpaka asahau Mshenga na Shehe wake Wa Jangwani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom