Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,280
- 1,296
Nimemsikiliza kikwete nikagundua ni rais wa hovyo ambae ataingia kwenye historia ya tz
Najisikia raha sababu awamu zote mbili sikumpigia kura. Waliompigia kura watubu dhambi
Nimemsikiliza kikwete nikagundua ni rais wa hovyo ambae ataingia kwenye historia ya tz
Acha ujinga wewe,Lowasa ndo aliitafuta RICHMOND,NA LOWASA NDO MUHUSIKA MKUURAIS aliposema ni kweli kwamba ALISHIRIKI kila hatua ya maamuzi ya Richmond. Na kwamba waliolikoroga ni jopo la makatibu wakuu walio teua kampuni wasio na uhakika nayo. Kasema Yeye hakujua hiyo kampuni Wala waziri wake mkuu. Makatibu ndio walio likoroga. Sentensi hizi zinaufunga leo na forever mjadala Huu wa kuchafuana.
NDIO maana Edo alisema Mwenye ushahidi aende mahakamani na hakuna Mwenye ushahidi hadi sekunde hii.
EDO IS SO CLEAN. sometime hadi machozi yanantoka, EDO katukanywa, kanyanyaswa, kavumilia yote .. this is pure Tanzanian President.
Kuna mimbwambwa huku mitandaoni haijui A Wala Z ya Richmond, imemezeshwa CD za kumtukana EDO, Sasa na Diama waufyate, Raisi keshafunga mjadala wa Richmond, EDO HAHUSIKI..
RAIS amesema mchakato wote wa kutatua tatizo la Umeme alishiriki 100%, unadhani kwa kakichwa kako mtu kusema ameshiriki hatua zote unawaza anaishia wapi?? Point ya Raisi anayoijenga pale ni kwamba Richmond haikuwa Jukumu lake kuifahamu. Lakini alijua. Hatumteti mtu hapa usilete ushabiki kwanza
aya mkuu ila kesho kura ni kwa magufuli tu
RAIS aliposema ni kweli kwamba ALISHIRIKI kila hatua ya maamuzi ya Richmond. Na kwamba waliolikoroga ni jopo la makatibu wakuu walio teua kampuni wasio na uhakika nayo. Kasema Yeye hakujua hiyo kampuni Wala waziri wake mkuu. Makatibu ndio walio likoroga. Sentensi hizi zinaufunga leo na forever mjadala Huu wa kuchafuana.
NDIO maana Edo alisema Mwenye ushahidi aende mahakamani na hakuna Mwenye ushahidi hadi sekunde hii.
EDO IS SO CLEAN. sometime hadi machozi yanantoka, EDO katukanywa, kanyanyaswa, kavumilia yote .. this is pure Tanzanian President.
Kuna mimbwambwa huku mitandaoni haijui A Wala Z ya Richmond, imemezeshwa CD za kumtukana EDO, Sasa na Diama waufyate, Raisi keshafunga mjadala wa Richmond, EDO HAHUSIKI..
Wewe ni mnafiki, muongo na Li Fisadi li Jinga kabisa. Eti unatokwa na machozi kwa uzuri na ulafi wa Lowassa. MTU kama wewe inaonyesha hujawahi kuwasifia wakazi wako waliokuzaa kama unavyo Lisifia hili Li Fisadi Lowassa.
Wewe unaweza uza mwanao kwa sababu ya pesa.
Anasema leo. Kwa nini asingesema kipindi kile. Na wenye kiwira na amben ni nani?? Msidanganyike na hivi habari. Kama rais alitakiwa kuongea miaka hiyo.
Kweli wewe Chizi
Kikwete kasema mwenye richmond alimuwajibisha,alimwambia JIUZULU