Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye richmond,baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .

ni kweli swala la richmond ni mzigo wa lowassa!
 
Kwa nini hayuko jela mpaka leo? Mna matataizo nyie!!
 
Mimi nakumbuka kwenye mchakato wa wakati ule zadi ya makampuni kumi yaliyo omba, Richmond ndiyo ilikuwa kampuni ya mwisho kwa kuto kukidhi vigezo...
All over suden eti ndiyo ikapewa tenda....Huu ni uozo mkubwa sana!!
Kwa kweli hizi ten percent zisiposimamishwa...zitatumaliza!!!!
 
Kwanini serikali inaendelea kuilipa hiyo kampuni na kwanini asishitakiwe kama akina mramba kwa matumizi mabaya ya ofisi.
 
Danadana ya nn..harafu kwanini kashfa iwe richmond hakuna nyingine
 
RAIS aliposema ni kweli kwamba ALISHIRIKI kila hatua ya maamuzi ya Richmond. Na kwamba waliolikoroga ni jopo la makatibu wakuu walio teua kampuni wasio na uhakika nayo. Kasema Yeye hakujua hiyo kampuni Wala waziri wake mkuu. Makatibu ndio walio likoroga. Sentensi hizi zinaufunga leo na forever mjadala Huu wa kuchafuana.

NDIO maana Edo alisema Mwenye ushahidi aende mahakamani na hakuna Mwenye ushahidi hadi sekunde hii.

EDO IS SO CLEAN. sometime hadi machozi yanantoka, EDO katukanywa, kanyanyaswa, kavumilia yote .. this is pure Tanzanian President.

Kuna mimbwambwa huku mitandaoni haijui A Wala Z ya Richmond, imemezeshwa CD za kumtukana EDO, Sasa na Diama waufyate, Raisi keshafunga mjadala wa Richmond, EDO HAHUSIKI..

Sidhani ka amesema alishiriki kuileta Richmond!! Acha kupotosha uma kwa manufaa yako binafsi ya kutafuta kiki

RAIS amesema mchakato wote wa kutatua tatizo la Umeme alishiriki 100%, unadhani kwa kakichwa kako mtu kusema ameshiriki hatua zote unawaza anaishia wapi?? Point ya Raisi anayoijenga pale ni kwamba Richmond haikuwa Jukumu lake kuifahamu. Lakini alijua. Hatumteti mtu hapa usilete ushabiki kwanza
 
Anajibanza kwenye matuta ya viazi! Anajua wenzake hawana muda wa kujibu! Mbona alikaa kinya tangu Lisu asema kwamba yeye ndo mwenye huo mzigo?
 
Alichukua hatua gani akiwa km rais... ni ujinga ujinga tuuu
 
Hana lolote,ndio maana alikuwa anajiuma uma wakati anaongea kuhusu hilo.
 
Na twiga kupanda Ndege ni lowasa na escrow ni lowasa na madawa ya kulevya kusafirishwa kwa barabara ni lowasa
 
aya mkuu ila kesho kura ni kwa magufuli tu
 
RAIS aliposema ni kweli kwamba ALISHIRIKI kila hatua ya maamuzi ya Richmond. Na kwamba waliolikoroga ni jopo la makatibu wakuu walio teua kampuni wasio na uhakika nayo. Kasema Yeye hakujua hiyo kampuni Wala waziri wake mkuu. Makatibu ndio walio likoroga. Sentensi hizi zinaufunga leo na forever mjadala Huu wa kuchafuana.

NDIO maana Edo alisema Mwenye ushahidi aende mahakamani na hakuna Mwenye ushahidi hadi sekunde hii.

EDO IS SO CLEAN. sometime hadi machozi yanantoka, EDO katukanywa, kanyanyaswa, kavumilia yote .. this is pure Tanzanian President.

Kuna mimbwambwa huku mitandaoni haijui A Wala Z ya Richmond, imemezeshwa CD za kumtukana EDO, Sasa na Diama waufyate, Raisi keshafunga mjadala wa Richmond, EDO HAHUSIKI..

Uelewa wako ndo ulipoishia pole
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom