Myanguneni
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,192
- 277
Tuondoleen upumbavu wenu hapa. Aliyekuw amkuu wa nchi ni Lowasa au Kikwete? Nani alikuwa juu ya mwingine?
Baada ya kubaini kwamba Lowasa ndiye tatizo, bungeni aliwajibika, serikai ya kikwete ilifanya nini ili kumfikisha kwenye vyombo vya sheria?
Kikwete aache uanafiki. Tabia hizi hatutaki kuziona tena kwenye ikulu yetu.
Kikwete alipaswa kuhakikisha uchunguzi unafanyika na ingebainika Lowasa ana kesi ya kujibu, alitakiwa kufikishwa mahakamani na serikali ili haki kwa taifa itendeke. Alifanya hili?
Kikwete huyu huyu ndiye aliyekwenda kumnadi Lowasa Mondulikwamba ni jembe yaliyomkuta ni ajali ya kisiasa. Alipokuwa nasema haya alikuwa kwenye ulimwengu na mwili gani huyu?
Aliulizwa mhusika wa Richmond akaasema hamjui. Leo huu ujinga anataka kumwambia nani atakayemwondoa yeye kwenye huu ufisadi?
Miaka nana imepita lowaa akisifiwa kila mara na kikwete na chama chake. Hadi anapewa na form za kugombea uraisi. Hii biashara ninadhani inatosha kwa hao watoto wa shule mnaowasomba na malori kujaza viwanja. Watu wazima hapa.
Ninaomba kikwete aishie zake kwa namna anavyostahili. Narudia maneno ya Kingunge. Akitaka kuondoka kistaarabu, akabidhi nchi kwa atakayeshinda. Haya mngine anajifedhehesha na kujimalizia hata kaheshima kake alikosalia nako kama kapo.
Tumechoka. Tunahitaji Tanzania sahihi, siyo hii ya rasi wa ajabu ajabu.
Hivi nyie chadema,kwa miaka mingapi mlikuwa mnaimba ufisadi wa Lowasa? Leo hii ninyi ndio wa kuanza kulia lia hapa!mnakumbuka kauli za Mbowe na Lema juu ya Lowasa au mumesahau?