Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
Akhsante kwa taariffa. Safari njema mzogani , samahani namaanisha Msoga.
 
Kwa nini aseme leo lala salama, ambapo anajua EL hawezi kumjibu kwa lolote? Hatudanganyiki tumeishafanya maamuzi. VIVA UKAWA.

Kulikuwa na sababu gani ya kusema mapema au baadae? Sijawahi kuona mmekubaliana na lolote linalosemwa tangu muanzishe UKAWA yenu so ni kwamba wakati wa kusema hili ulikuwa leo.

Unachotakiwa kufsnya hapa ni kumwamsha fisadi wenu huyo atueleze kwa nini alipindisha taratibu za manunuzi akawa kataa tanesco?
 
Acha uongo, umeangalia tv ya mabua nini? Kasema yeye alishiriki ktk kuwaambia watafute kampuni ya kuzalisha umeme na akawapa masharti kwa aliowapa jukumu wafuate masharti na taratibu kama inavyotakiwa.
Na kasema lowassa ndiye muhusika ma WALIMWAMBIA AJIUZULU. Changanya na zako na pia maelezo ya aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge, kamati ya Mwakyembe.
Hivyo lowassa hakujiuzulu kwa hiari.

mkuu kikwete alisubiri mpaka kamati ya bunge kwa nini? pia kwa nini richmond ilibadilishwa jina ikaitwa dowans? na baadae simbion?
 
Akhsante kwa taarifa. Haya wahi mzogani. Samahani wahi Msoga.
 
Kikwete amefunguka kila kitu kesho naenda kumpigia simu Magufuli bila wasiwasi
 
Kwa hali niliyoona leo hapa jangwani ndugu watanzania wenzangu, Lowassa anachukua nchi mchana kweupe. Hizo porojo hazina mashiko hatudanganyiki tena.
 
Afadhal kikwete kuliweka wazi,yani watu wote waliokuwa wakisikiliza hutuba hakiyanani wameapa kwamba kumbe lowasa kanyanyaswa hivi, wamesema wote kesho lowasa tunamsimika kuwa raisi wetu

Atafanya kazi ngapi ndio maana anawasaidizi mkuu jiongeze
 
Mbona huyo EL hawampeleki kwa Pilato kama kweli alihusika na Richmond..Otherwise ntaendelea kuamini kuamini EL hahusiki!
 
watu humu wamejaa vilaza kweli eti kwanini hakusema ,aseme nini wakati tangu awali kuanzia bungeni inafahamika lowasa ndo mhusika wa richmond naalijiuzulu,,,,sasa mlitaka aseme yeye ili iweje,wakati bunge lilisema na akawajibika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom