kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kayika maazimisho ya siku ya manesi raisi wa Tanzania anaeongoza duniani kwa kutembekea nchi mbalimbali kuliko rais yoyote leo amevuna aibu ya mwaka baada ya watoto washule kujazana uwanjani bada ya watu wazima aliotalajia kuwahutubia na cha kushangaza watu walikuwa busy na shighuli zao bila kujali kuna mhe. Dr. Dr. Dr Kikwete akihutubia watu uwanjani hapo...ni katika maazimisho ya manesi

maoni yangu kikwete hata ukigombea ukilanja kwenye moja ya shule za msingi hapa Arusha utakuwa mshidi wa tatu...watu wa Arusha hawataki kusikia habari za chama chako na serikali yako na uelewe hata hao watoto waliojazana uwanjani ni kwa kuwa wamelazomishwa halafu waliambiwa kutakuwa na zekomedi baada ya rais kumaliza kuhutubia..
jana jioni katika hatakati za kuokoa jahazi mkuu wa mkoa alisambaza meseji hizi...

MH. NIMEAGIZWA NA MKUU WA MKOA JIONI HII KWAMBA ANAWAALIKA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KITAIFA NI HAPA ARUSHA MGENI RASMI NI MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KUFIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABED SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KESHO
Khaa!! Hata kama ni kweli ndiyo ilivyo hivyo. bado he is still the president of URT. ndiyo maana mie kila siku kuna watu majinga sana always yanafight na wrong man. Tumieni akili he wont go for the presidency in 2015 :loco:
 
ndiyo umeandika madudu gani mjomba ?
 
kayika maazimisho ya siku ya manesi raisi wa Tanzania anaeongoza duniani kwa kutembekea nchi mbalimbali kuliko rais yoyote leo amevuna aibu ya mwaka baada ya watoto washule kujazana uwanjani bada ya watu wazima aliotalajia kuwahutubia na cha kushangaza watu walikuwa busy na shighuli zao bila kujali kuna mhe. Dr. Dr. Dr Kikwete akihutubia watu uwanjani hapo...ni katika maazimisho ya manesi

maoni yangu kikwete hata ukigombea ukilanja kwenye moja ya shule za msingi hapa Arusha utakuwa mshidi wa tatu...watu wa Arusha hawataki kusikia habari za chama chako na serikali yako na uelewe hata hao watoto waliojazana uwanjani ni kwa kuwa wamelazomishwa halafu waliambiwa kutakuwa na zekomedi baada ya rais kumaliza kuhutubia..
jana jioni katika hatakati za kuokoa jahazi mkuu wa mkoa alisambaza meseji hizi...

MH. NIMEAGIZWA NA MKUU WA MKOA JIONI HII KWAMBA ANAWAALIKA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KITAIFA NI HAPA ARUSHA MGENI RASMI NI MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KUFIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABED SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KESHO
JK alipata kura ngapi Arusha uchguzi uliopita unaongea kama umekatwa kichwa.
 
Nimetoka kuangalia habari ITV,mbona wameonyeshwa watu wengi tu uwanjani? Hata kama haumpendi jk usimzushie kihivyo!
 
Mkuu Ritz Hawa vijana watupu sana, linapokuja suala la data.

[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]JIJI LA ARUSHA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]ARUSHA MJINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party​
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes​
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes​
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%, align: center"]

​
[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KIKWETE JAKAYA MRISHO [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CCM​
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]39,828[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 40.73[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CUF​
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]668[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.68[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KUGA PETER MZIRAY [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
APPT - MAENDELEO​
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]408[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.42[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
TLP​
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]237[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] RUNGWE HASHIM SPUNDA [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
NCCR-MAGEUZI​
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]95[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
UPDP​
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]30[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.03[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]1,668[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 1.71 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"] 97,790[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
 
Last edited by a moderator:
A town wabunge wavutaji, wapiga kura wavutaji. huwa mnajilipua wenyewe ili muonewe huruma.

Busara kuu inahitajka katika kujibu hoja,"moja ya sababu kuu ya cdm kupendwa ARUSHA ni hasira za wanachi kwa viongozi wao baada ya viongozi hao kutoa zarau kubwa kwa wananchi "report ya ccm.
 
kayika maazimisho ya siku ya manesi raisi wa Tanzania anaeongoza duniani kwa kutembekea nchi mbalimbali kuliko rais yoyote leo amevuna aibu ya mwaka baada ya watoto washule kujazana uwanjani bada ya watu wazima aliotalajia kuwahutubia na cha kushangaza watu walikuwa busy na shighuli zao bila kujali kuna mhe. Dr. Dr. Dr Kikwete akihutubia watu uwanjani hapo...ni katika maazimisho ya manesi

maoni yangu kikwete hata ukigombea ukilanja kwenye moja ya shule za msingi hapa Arusha utakuwa mshidi wa tatu...watu wa Arusha hawataki kusikia habari za chama chako na serikali yako na uelewe hata hao watoto waliojazana uwanjani ni kwa kuwa wamelazomishwa halafu waliambiwa kutakuwa na zekomedi baada ya rais kumaliza kuhutubia..
jana jioni katika hatakati za kuokoa jahazi mkuu wa mkoa alisambaza meseji hizi...

MH. NIMEAGIZWA NA MKUU WA MKOA JIONI HII KWAMBA ANAWAALIKA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KITAIFA NI HAPA ARUSHA MGENI RASMI NI MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KUFIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABED SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KESHO

ImageUploadedByJamiiForums1399919557.021400.jpgImageUploadedByJamiiForums1399919570.135042.jpg
Mkuu punguza unafiki
 
We Crashwise siku nyingine ukishachanja GOMBA yako, na kunywa VIROBA vyako, halafu ukavuta GANJA, huna haja ya kukimbilia kuanzisha Thread, we lala tu.
 
Last edited by a moderator:
Rais Kikwete, hata akiwa anapita barabarani maelfu ya wananchi hujitokeza kumlaki.
Watanzania wengi wanampenda Rais wao.

Umebughi wanaomlaki ni wazee wenzake na ccm lkn sio vijana wanaolia ajira hakuna sio kizazi kipya kinachojua uchafu na ufisadi wa hii serikali na kama unabisha nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu ili uje uone jinsi kesi nyingi zitakavyowahusu JK na mwenzake BWK hata kama watakuwa hawapo duniani hawa lazima washtakiwe tu...!!!
 
Unajidhalilisha bure wewe mpambe wa Lema, wewe kila kitu unatumwa bila kutumia akili yake.

Mkuu huyu Kijana anafanya kazi za ndani nyumbani kwa Mbunge LEMA maeneo ya Njiro, Karibu na shirika la masista Katoliki lijulikanalo kama CANNOSA, NJIRO.
 
Hawa Bavicha wakishavuta bangi zao na viroba wanakwenda kushinda kijeweni pale Desemba makao mapya kwa wauza spea wanadanganyana tu, wakinunuliwa supu ya ulimi wanakuja kuanzisha uzi JF.
 
Tujenge Tabia ya kuwaheshimu viongozi waliochaguliwa hata kama hatuwapendi na hatujawapigia kura.Tusubirie mda wao ukiisha tuwape ushindi wale tunaowapenda.Ni Nidhamu ya kawaida sana.
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA

Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

Mkuu huyu Crashwise atakuwa hata madarasa ya ngumbalo/memkwa hakusoma! Atakuwa kafundishwa na monita wa Memkwa! Huu ni uharibifu wa lugha. Pole sana Crashwise, jaribu walau kwenda shule, siku hizi shule zimeongezeka!

Sitaki kuchangia context ya alichoandika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu huyu Kijana anafanya kazi za ndani nyumbani kwa Mbunge LEMA maeneo ya Njiro, Karibu na shirika la masista Katoliki lijulikanalo kama CANNOSA, NJIRO.

leo muuza sembe kavuna aibu Arusha angalia wayu pamoja na wafanyakazi wa A to Z kuletwa jahazi lakini hakuna kitu watu wa kuhesabu...
 
Mkuu huyu Crashwise atakuwa hata madarasa ya ngumbalo/memkwa hakusoma! Atakuwa kafundishwa na monita wa Memkwa! Huu ni uharibifu wa lugha. Pole sana Crashwise, jaribu walau kwenda shule, siku hizi shule zimeongezeka!

Sitaki kuchangia context ya alichoandika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kijana acha dharau ujue nimesoma darasa moja na mama yako na wewe ndiyo matunda yetu hivyo heshimu wazazi wako na unipongeze kwa umri huu natumia simu..
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA

Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

kumbe umemwelewa !!!!
 
We Crashwise siku nyingine ukishachanja GOMBA yako, na kunywa VIROBA vyako, halafu ukavuta GANJA, huna haja ya kukimbilia kuanzisha Thread, we lala tu.

tatizo akili yako imekaa kimavi mavi tu na unawaza mavi muda wote..wafanyakazi Wa A to Z wako wangapi? je wafanyakazi wa A to Z ni wauguzi? je kwanini mimewaleta uwanjani? je wanafunzi nao waiguzi..
 
Last edited by a moderator:
Nimetoka kuangalia habari ITV,mbona wameonyeshwa watu wengi tu uwanjani? Hata kama haumpendi jk usimzushie kihivyo!

unaujua Arusha, swala la kitaifa rais anapata watu mia tatu tena kutoka kiwanda chake cha A to Z..na wanafunzi washule za hapa jijini na walimu wao je nao ni wauguzi...
 
Back
Top Bottom