kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

Mkuu Msalani si unajua tena smartphones na touch keyboard mkuu. Halafu unaandika kwa haraka haraka maana watu wa mabomu watakuwepo, tigo nao, usalama nao, FFU nao!!! Usisahau askari kanzu!!! Ni nani asiyetaka uhai wake?
asante kamanda usisahau kuwa kuna jua pia...cha msingi wamepata meseji ndiyo maana mapovu yanawatoka...
 
hapa Arusha tuliwatandika 4 - 0 halafu tukawatandika 1 - 0....hayo mengine tafuta pa kuyapeleka hii ni A Town...
A town wabunge wavutaji, wapiga kura wavutaji. huwa mnajilipua wenyewe ili muonewe huruma.

 
A town wabunge wavutaji, wapiga kura wavutaji. huwa mnajilipua wenyewe ili muonewe huruma.


ccm wanajidunga sindano za sembe na kuvuta sembe mpaka mwenyekiti wao sasa una shangaa nini A City kuvuta bangi...kuhusu kujilipua kama tumejilipua na serikali ya wavuta sembe iko kimya wakati imeapa kulinda usalama wa watanzania bado unasema tuna serikali au tuna viongozi type ya mr bean...
 
sasa kugoma kupisha msafara ni ujanja au ufara?

nachomaanisha arusha tuna shughuri za uhimu nyingi kuliko kusimama kupisha misafala isiyo na tija. Na leo atahutubia milingoti ya goli pale stadium
 
Hivi kumbe Mkuu wa Kaya naye ni nurse kitaaluma? Ndo nimejua leo. Now I have connected the dots...Kumbe ndo maana watu wengine huwa wanachanganyikiwa wanamuita Doctor. Ndugu zangu tofautisheni, yeye ni nurse sio doctor.
 
kayika maazimisho ya siku ya manesi raisi wa Tanzania anaeongoza duniani kwa kutembekea nchi mbalimbali kuliko rais yoyote leo amevuna aibu ya mwaka baada ya watoto washule kujazana uwanjani bada ya watu wazima aliotalajia kuwahutubia na cha kushangaza watu walikuwa busy na shighuli zao bila kujali kuna mhe. Dr. Dr. Dr Kikwete akihutubia watu uwanjani hapo...ni katika maazimisho ya manesi

maoni yangu kikwete hata ukigombea ukilanja kwenye moja ya shule za msingi hapa Arusha utakuwa mshidi wa tatu...watu wa Arusha hawataki kusikia habari za chama chako na serikali yako na uelewe hata hao watoto waliojazana uwanjani ni kwa kuwa wamelazomishwa halafu waliambiwa kutakuwa na zekomedi baada ya rais kumaliza kuhutubia..
jana jioni katika hatakati za kuokoa jahazi mkuu wa mkoa alisambaza meseji hizi...

MH. NIMEAGIZWA NA MKUU WA MKOA JIONI HII KWAMBA ANAWAALIKA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KITAIFA NI HAPA ARUSHA MGENI RASMI NI MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KUFIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABED SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KESHO

Naona bado anapima urefu wa kina cha maji...chuga mpango mwingine kabisa! Hamna kitu wasichokifahamu/kijua yote haya ni malipo ya fadhila za mabomb yake...go chuga go now and forever
 
ccm wanajidunga sindano za sembe na kuvuta sembe mpaka mwenyekiti wao sasa una shangaa nini A City kuvuta bangi...kuhusu kujilipua kama tumejilipua na serikali ya wavuta sembe iko kimya wakati imeapa kulinda usalama wa watanzania bado unasema tuna serikali au tuna viongozi type ya mr bean...
Miye nilisema umnavuta sasa wewe mwenyewe amemalizia bangi ina maana ni kweli ndiyo mheshimiwa wa A town midomo yake imekauka na macho yake yamekuwa madogo vile?

 
Hao watoto wakirudi manyumbani wachapwe mboko za kutosha, that is an absolute abuse to our glory land!!

Watoto kwenda kumsikiliza Rais msanii na tapeli ni sawa na kwenda kwenye banda la video!!

tena za ngono
 
Back
Top Bottom