kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA


Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

nimechekaje kwenye GRAMMATICAL ERROR
 
nicholas kiongozi wa chadema unawatukana waislamu wa cuf
uongozi ulinipa wewe kima mkuu...Mfitini mkuwa,hiyo ndio sunna ingine ..Fitna ndio ngao ya dini.Waislam wa CUF?Wa CDM na CCM hapana?Inawezekana vipi hilo?Mbea hana tofauti na malaya au shoga..ktk jamii huleta fitna.
 
ok. Unazungumziaje uhaba wa watalii uliosababishwa na vurugu za lema na chadema arusha?
Ujinga umekuwa nguzo nyingine ya imani.Vipi mabomu ya mwigulu yenyewe hayakufanikiwa wakimbiza wageni..rafiki yangu mmarekani aliniambia kuwa atakuja TZ na atatembelea Arusha..kwa vile rafiki yake kamwambia hakuna shida kwao kwa vile bomu lilipigwa kisiasa na chama tawala.
 
Back
Top Bottom