kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

kikwete avuna aibu Sheikh Amri Abeid Stadium -Arusha

Wewe mwenyewe uko uwanjani, ujue ni jinsi gani unampenda Kikwete. Au umeenda na bomu huko??
Tafadhali urudi shule ukajifunze Kusoma, Kuandika na kuhesabu. (KKK)
 
Ni aibu ya karne jamani....Inauma sana Yani Mkuu wa nchi anatembelea Mkoa wake halafu watu hawana time naye kabisa.....

Masikini ya Mungu uwanja mzima ulijazwa na Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari....

Ni aibu tupu..

Ushauri: Ni bora Rais asikanyage tena Arusha
 
kayika - KATIKA
anaeongoza - ANAYEONGOZA
kutembekea - KUTEMBELEA
aliotalajia - ALIYOTARAJIA
shighuli - SHUGHULI
maazimisho - MAADHIMISHO
ukilanja - UKIRANJA
wamelazomishwa - WAMELAZIMISHWA


Mkuu Crashwise hebu jifunze kuandika kwanza. Haya ya Kikwete yako juu ya uwezo wako
cc: FaizaFoxy

Watoto wa mjini hawa..shule hakuna wamekalia domo
 
kwani alikwenda kuhutubia wakazi wa arusha au manesi? Watu wa arusha wanaanzaga kunywa gongo asubuhi..
Haha...kwani wale wakata vitambaa na kuendesha vyerahani na wapiga pasi A to Z nao nimanesi..au kwa vile wanashika na pamba pia?Wafanya kazi wa halmashauri za jirani wote ni manesi..mbona wamelazimishwa kwenda..
 
JF jukwaa huru kila mwenye ngoma yake na acheze hata ipasuke...lakini mhhhhh!
 
JK 1.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Jakaya Kikwete akihutubia wauguzi na wananchi wa Arusha katika kilele cha siku ya wauguzi duniani ambazo kitaifa zimefanyika mjini Arusha leo tar 12.05.2014.
JK 2.jpg
Baadhi ya wauguzi wakifuatilia hotuba ya Rais.
JK 3.jpg
Wauguzi wakila kiapo.
 
Hawa ndio wanao taka nchi , makamanda wa lema. Ujinga wa kibavicha
 
Back
Top Bottom