viloba vya konyagi viko kazini hajui ata anacho andika
Ulivyokimbilia kuandika sijui hata kama umevaa nguo zote, loooh,
leta picha tuone huu uongo wako.
Huyu mzee naye kwa kupuyanga amezidi, Jana tu nilisikia yuko Nigeria, Mara Angola Leo A twn, janga.
A town wabunge wavutaji, wapiga kura wavutaji. huwa mnajilipua wenyewe ili muonewe huruma.
lakini ameshindwa kuzitumia kujua matatizo ya watanzania...
kayika maazimisho ya siku ya manesi raisi wa Tanzania anaeongoza duniani kwa kutembekea nchi mbalimbali kuliko rais yoyote leo amevuna aibu ya mwaka baada ya watoto washule kujazana uwanjani bada ya watu wazima aliotalajia kuwahutubia na cha kushangaza watu walikuwa busy na shighuli zao bila kujali kuna mhe. Dr. Dr. Dr Kikwete akihutubia watu uwanjani hapo...ni katika maazimisho ya manesi
maoni yangu kikwete hata ukigombea ukilanja kwenye moja ya shule za msingi hapa Arusha utakuwa mshidi wa tatu...watu wa Arusha hawataki kusikia habari za chama chako na serikali yako na uelewe hata hao watoto waliojazana uwanjani ni kwa kuwa wamelazomishwa halafu waliambiwa kutakuwa na zekomedi baada ya rais kumaliza kuhutubia..
jana jioni katika hatakati za kuokoa jahazi mkuu wa mkoa alisambaza meseji hizi...
MH. NIMEAGIZWA NA MKUU WA MKOA JIONI HII KWAMBA ANAWAALIKA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KITAIFA NI HAPA ARUSHA MGENI RASMI NI MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KUFIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABED SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KESHO
Ubwege kitu kibaya sana katika mapito upitayo na utaendelea baki na fitna za kikanda + udini + ukabila = maporomoko ya uchumi na kukosekana kwa AMANI.
Mkuu,hivi unajua maana ya Dr.?
hapa ninapoandika pembeni yangu kuna vikuruta kutoka CCP hivyo naandika kwa kuhofia kucha zangu...
kayika maazimisho ya siku ya manesi raisi wa Tanzania anaeongoza duniani kwa kutembekea nchi mbalimbali kuliko rais yoyote leo amevuna aibu ya mwaka baada ya watoto washule kujazana uwanjani bada ya watu wazima aliotalajia kuwahutubia na cha kushangaza watu walikuwa busy na shighuli zao bila kujali kuna mhe. Dr. Dr. Dr Kikwete akihutubia watu uwanjani hapo...ni katika maazimisho ya manesi
maoni yangu kikwete hata ukigombea ukilanja kwenye moja ya shule za msingi hapa Arusha utakuwa mshidi wa tatu...watu wa Arusha hawataki kusikia habari za chama chako na serikali yako na uelewe hata hao watoto waliojazana uwanjani ni kwa kuwa wamelazomishwa halafu waliambiwa kutakuwa na zekomedi baada ya rais kumaliza kuhutubia..
jana jioni katika hatakati za kuokoa jahazi mkuu wa mkoa alisambaza meseji hizi...
MH. NIMEAGIZWA NA MKUU WA MKOA JIONI HII KWAMBA ANAWAALIKA KWENYE SHEREHE ZA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KITAIFA NI HAPA ARUSHA MGENI RASMI NI MH.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.KUFIKA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABED SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI KESHO
Muache kujiita makamanda wakati mnaogopa hata makuruta kutoka CCP.Mkuu Msalani si unajua tena smartphones na touch keyboard mkuu. Halafu unaandika kwa haraka haraka maana watu wa mabomu watakuwepo, tigo nao, usalama nao, FFU nao!!! Usisahau askari kanzu!!! Ni nani asiyetaka uhai wake?