Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Hii ni aibu kwa bavicha na ufipa.
View attachment 157760
rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, mh.jakaya kikwete akihutubia wauguzi na wananchi wa arusha katika kilele cha siku ya wauguzi duniani ambazo kitaifa zimefanyika mjini arusha leo tar 12.05.2014.
View attachment 157761
baadhi ya wauguzi wakifuatilia hotuba ya rais.
View attachment 157762
wauguzi wakila kiapo.