Ajiuzulu kwa nini?Anaweza kujitangaza kujiuzulu!
Anaweza kujitangaza kujiuzulu!
Anaweza kujitangaza kujiuzulu!
Kuna watu wengi wanakurupuka tu! mtu anajiuzulu kwa sababu gani? by the way wengine hamuoni anachofanya mheshimiwa Rais kwa sababu mnataka afanye mambo kidikteta...
Na wengine hawajawahi hata kuongoza watu watatu...
sidahni kama hilo analo kichwani maana yeye mwenyewe ni mbwembwe toshaHalisi,
Kumbuka ilitakiwa wachukuliwe hatua na si kuwasilisha report kwa mbwembwe na kuwaita waandishi wa habari.
Muungwana kaona si vyema kufanya mbwembwe cha muhimu zaidi ni hatua za kuchukuliwa.
Safi sana Muungwana!
Kuna watu wengi wanakurupuka tu! mtu anajiuzulu kwa sababu gani? by the way wengine hamuoni anachofanya mheshimiwa Rais kwa sababu mnataka afanye mambo kidikteta...
Na wengine hawajawahi hata kuongoza watu watatu...
Tatizo ninaloliona hapa ni watu kumu underrate Jakaya.Hivi kweli mnadhani hajui afanye nini kuhusu EPA?subirini.Hii ni good option, anatangaza kujiuzulu na uchaguzi mpya unaitishwa wa wabunge na rais. Akishinda kwa miguu yake bila mikono ya mafisadi ndio anaweza kuwachukulia hatua, lakini kwa hali ya sasa, cheo cha rais pia kinanuka kashfa ya EPA.
Aseme yeye hakujua kama pesa za kampeni zilikuwa za wizi, na hivyo kubatilisha uchaguzi wa 2005 na washindi wake wote ( Wabunge, Madiwani na Rais).
Inahitajika imani ya hali ya juu (kama ya kumwezesha mtu kutembea juu ya maji) kuweza kuziona pumba za "mtalii/msanii no. 1" JK, kuwa mchele. Na wadanganyika ni watu wa imani kweli kweli. Tembelea nyumba za ibada utaelewa ninachoongelea.
Kwa kuwa bunge la Tz lina sehemu mbili: kichwa kikiwa ni raisi wa jamhuri, basi bunge letu la wawakilishi wa wananchi litapaswa kupiga makofi na magoti wakati wa hotuba ya bwana mkubwa.
Kasheshe,Mwanakijiji,Hauxtable,Pundit,...
..kama Raisi alitoa maagizo kwa Mwanyika kwamba watuhumiwa wapelekwe ktk mkondo wa sheria, halafu Mwanyika akakiuka maagizo na kuandaa ripoti, basi Raisi anauwezo wa kufuta kazi Mwanyika na kuteau mtu atakayetekeleza maagizo yake.
..mimi naamini hawa kina Mwanyika wameshindwa kutekeleza "maagizo" ya Raisi, kwasababu Raisi mwenyewe hajaonyesha kuwa na nia na msukumo wa kuchukua hatua za kisheria ktk suala la EPA.
..Raisi anaogopa hata kupokea ripoti ya Mwanyika mbele ya waandishi wa habari. hiyo kwangu mimi inatoa picha mbaya sana kwa kweli.