malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 772
Hongera kikwete!!!!!!!! ila asilewe sifa akatulaghai kwa maneno matamu kisha atusweke njia panda maana wa TZ tumeshapinda kwani maneno y aviongozi ni asali ila matendo ni shubiri. Na maneno yao hunoga zaidi kipindi cha kukaribia uchaguzi, wasipozingatia wajibu na kufikia malengo tutazidi kua kichwa cha mwendawazimu. Kwani tunaelewa kuongea ni kipaji basi na isiwe tija wa kutfanya wajinga kupitiliza.